Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Daby hisia ambazo zinaweza kuleta matatizo makubwa ktk jamii hisia gani hizo?

I don't understand it!!unajikuta unamuwaza mtu muda wotee tuu!
Kwa hiyo hujui hisia ndo ndo tatizo lenyewe?

Mkihisi mtu moyoni ndo basi yena ata akuambie kula mavi utakula.
 
Mwalimu wangu mmoja aliwah kuelezea kwa kiinglish maana ya mapenz akasema "Love is the highest level of stupidity"
 
Mapenzi ni hasia chanya zenye kuelezea jinsi ama namna ambavyo unapenda kitu mf. Napenda sana kula samaki aina ya sato, hayo pia ni mapenzi
 
Kama una umizwa na mapenzi moja tambua huwezi kuwa tajiri, unless uwe umerithi pesa au ushinde bingo la tatu mzuka au biko.

Watu wenye akili nyingi huwa hawaumizwi kivile na ujinga huu eti mapenzi..
Mkuu una manisha watu walio na pesa wote huwa hawana upendo wala hawajui kupenda tu ni deap???weka usibitisho hapa
 
Back
Top Bottom