Mapenzi ni matamu ila ni gharama

Mapenzi ni matamu ila ni gharama

Mkuu hapa anasema mke hahimili vishindo vyake,
mwingine anasema amefata mrembo mpya,
Mwingine msambwada........na mengine mengi
Wamamama tulioolewa sijui tuwatendee nini waume zetu waridhike😎😎
 
Kuwa msafi,mchangamfu,na uumpe furaha pale anapopitia magumu na hata kama anakutenda mabaya usikasirike we kuwa tu mwenye furaha;hapo lazima aridhike na kutulia na wewe.
 
Mkuu hapa anasema mke hahimili vishindo vyake,
mwingine anasema amefata mrembo mpya,
Mwingine msambwada........na mengine mengi
Wamamama tulioolewa sijui tuwatendee nini waume zetu waridhike😎😎
Unadhani wote wanachepuka?story z vijiweni hizi zisikutishe.
 
Mkuu hapa anasema mke hahimili vishindo vyake,
mwingine anasema amefata mrembo mpya,
Mwingine msambwada........na mengine mengi
Wamamama tulioolewa sijui tuwatendee nini waume zetu waridhike
Mwanaume akichepuka haachwi ila mwanamke anaachwa bila taraka
 
Back
Top Bottom