Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,156
- 55,651
Mapenzi ni matamu ila ni gharama. Nimelithibitisha hili baada ya kipindi fulani kwenda kwenye mapumziko ya siku saba na mrembo wangu mwenye chura matata.
Kabla ya kuanza safari nilikuwa nimeweka bajeti na nikaiamini bajeti ile ingeweza kutosha, baada ya kufika eneo la tukio na mashamsham ya hapa na pale, mitego ya hapa na pale nikajikuta matumizi yanazidi bajeti.
Mrembo akisema baby nataka kile unajikuta unatekeleza tu, hata kama huna utajitahidi ufanikishe ili siku iende vizuri.
Mwisho wa siku nikajikuta nimetumia zaidi ya kile nilichokipanga, kweli mapenzi yanavuruga bajeti hasa kwa mtu umpendaye.