heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,033
- 13,350
Habari zenu Grear thinkers
Mapenzi ni mazuri na ni matamu sana pia yanaumiza haswa,ni matamu pale unapoona yanakufit kwa namna yako na jinsi unavyo ya tafsiri,
Mapenzi hayana tofauti na matumizi ya madawa ya kulevya, ukiyashiriki jua umeshajitoa na kuruhusu kila kitu chako kiathirike na matokeo yake,
Mtumiaji wa madawa kwa hali yoyote atafanya vyovyote apate ela anunue kete avute ili afurahie utamu na kupooza alosto yake
Sasa kwetu kwa sisi tunaotumia mpenzi kama madawa yetu inatupasa kutafuta kile ambacho kinaweza nunua na kukupatia tulizo la alosto yako, yaweza kuwa ni hela,au kitu kingine ila kumbuk akuna madawa ya kulevya ya bure au ya kukopeshwa hakuna
Na ndo maana akija mtu hapa atatoa vigezo vyake izo ndo gharma za mapenzi so ni lazima kuziheshimu,kama huna na huziwezi basi usichague mapenzi kuwa kama madawa yako ya kulevya unaweza tafuta kingine chenye gharma nafuu zaidi
Siku zote kuacha madawa ya kulevya ni shughuli haswa tena pale yanapokukolea na kuzoeana na damu yako, na ndo ilivyo katika mapenzi kuachana nayo ni ngumu maana ndo maisha yetu ya kila siku
Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana nimepewa kila kitu na mamlaka yote, huyu mwanamke ni sehemu yangu ya mwili wangu yatupasa kuwaangalia/kuwajali kabla au baada yao kujijali wenyewe
Mfano unaweza kuwashwa mguuni ukiwa umesimama unaweza tumia mguu mwingine kujikunia hivyo ndo jinsi viungo vinavyosaidiana, na hawa wanawake kama viungo vyetu wanayoweza kufanya wenyewe wafanye ambayo hawawezi ndio tunawasaidia
Mapenz ni madawa ya kulevya ukitaka alosto yako itimilizwe basi fanya kuigharamia kwa hali na mali, usifikiri alosto itatimilizwa bila gharma utapata vinavyo athiri mwili
Kijana unaengia ktk mapenzi au ulie katk mapenzi unavyopata vya bure jua utavilipa kama si kikawaida basi in hardway, usikubali kukopeshwa
My fellow usikubali mapenzi yakutese hadi yavuke mipaka hasa kwa mwanaume, jivue move on akutaki mapenzi yameisha angalia sehemu ingine enjoy, najua utasema ooh ni kazuri,kana shape,kana mguu mzuri,kana sauti nzuri n.k phuk youu **** ni ile ile bruuh, angalia uzaifu wako then ufanyie kazi uwe sawa angalia mwingine
Nawapenda sana since 2014 jf #bloodsubscribed