- Thread starter
- #21
Ndoa sio changamoto kama unavodhania hivo usiogope kuingia.Jana mwenzako kalalamika mkewe hampi attention, juzi kati hapo kuna mwingine alilalamika kama wewe kuwa mkewe anampa attention mpaka kero.
Asee kweli nimeshaona ndoa zina changamoto sana. Ukijaliwa sana hutaki, usipojaliwa nako hutaki.
Bora kubaki bachelor tu ujijali mwenyewe.