Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,217
Reaction score
4,800
Wakuu salaam,

Tulipoanza mahusiano alikua ananiomba pesa sana bt tangu amefall inlove haniombi pesa tena na anataka attention yangu muda wote hadi naona kero tena.

1634795603802.jpeg

​
 
Basi humpendi huyo mwanamke, kama ukimpenda huwezi ona kero hata kidogo muda wote utatamani uwe nae. 1hr without a woman you really love it does feel like 60minutes.
You took her for granted.
Hata kama unampenda vipi mtu huwezi kukalia mapenzi 24hrs akati unamajukumu mengi yanakusubiri.
 
Haya mapenzi ni kuenjoi tu kama vile hakuna kesho maana hujui nini kinafata
 
Hicho unachoona kero ndiyo mapenzi ya kweli....ila kama huwezi kuyamudu achana nayo tu.
 
Sasa wewe unataka nn hapo tena jaman!!? Mkamatilie sana huyo usije mpoteza
 
Jana mwenzako kalalamika mkewe hampi attention, juzi kati hapo kuna mwingine alilalamika kama wewe kuwa mkewe anampa attention mpaka kero.

Asee kweli nimeshaona ndoa zina changamoto sana. Ukijaliwa sana hutaki, usipojaliwa nako hutaki.

Bora kubaki bachelor tu ujijali mwenyewe.
 
Back
Top Bottom