Lakini Mkuu, hao wanaotoa Individually wengi wao hutoa kwa watuKwa ujumla hayo ni maisha ya watz wengi sana! Tunajisahau tu tunapopata access za ku brouse kama hivi, tunaojadiliana humu maisha wengi tuna maisha ya wastani ndio maana tunajisaha na kufikiri maisha ndio haya kwa kila mtz! Maisha ya ndugu zetu ni shida sana! Hata huyo ni bahati tu yupo dar angalau Tanesco wametoa.
Kuhusu member wa jf kujitolea kuwasaidia, nadhani wengi wanafanya but individually. Nadiani unafahamu wengi humu hawapendi kufahamiana kwa sababu mbalimbali ingawa tofauti ni kubwa kwa Arusha. Tungeweza kujiunga kwa pa1 na kulifanya hilo kwa pa1 lingeleta maana kubwa sana!
Watu hutembelea tu wanaposikia kuna mtu wanamfahamutatizo na huku mtaani tuna shida sana, tunauguliwa na ndugu marafiki, pesa nazo ni issue ndio maana unaona hivo mkuu
lakini pia sio kwamba htutembelei sehemu hizo tunatembelea sana tu kila tupatapo nafasi..ahsante sana