Mapenzi ni fadhila?

Mapenzi yanatoka moyoni, Na masilahi hutoka mkononi. Hivyo fadhila ni shukrani za Roho (appreciations) yaani heart to heart talks....!!
 
bro.......ina maana umesahau jins humu jamvini tu watu wanavyoliaga liaga kwamba wamesomeshwa wanzao wakijua watakuja kuoana??

Sis, hawa wanaolia sidhani kama wanazijua vizuri kanuni za mahusiano...kutoa fadhila haina maana unataka upate kitu in return.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…