Ngoja nimutafute.. nikimupata mrejesho nitaleta ila kuna mawili afe beki au kipa..πAcha uoga mkuu, stand like a man. Kila kitu kitakaa katika pattern. Ukiwa na sauti hata kama una 200 mwanamke ana 500 utamtuliza vizuri tu.
Pole sana Mkuu. Nadhani bado unamsaidia kisaikolojia maana anaweza kumpata mtu ambae akashindwa kumsoma vizuri kama wewe ulivyoweza halafu mwana akajikuta katumbukia kwenye tundu la kisoro ajilaumu. Mwisho wake huyo dada ajikute anaingia kwenye same cycle aliyoingia mama ake mzazi. Huwa wanabeba hizo chuki kwa vizazi vyao. Tena kama huyo akikutwa na same situation kama ya mama ake atamlisha sumu sana mwanaeNa ninaogopa sana mtu wa hivyo, kuna siku alisema nataka nije kuwa na kwangu nijenge nyumba yangu peke yangu nikamuangalia tu akaendelea kusema nije kuwa na watoto wangu nikamuuliza hao watoto atawanya kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho? Apo kidogo akatulia kimya ila malezi ya mzazi mmoja yanachangia sana hawa dada zetu kuwa na ubinafsi hasa kama kalelewa na mama ambae ameachika.
Tehe tehe teheMwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!
Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?
Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.
Inategemea MkuuMwanamke anaweza kukupa hela ila anajua anirudisha vipi mara nying zaidi, beware na hela ya mwanamke, achana nazo hata kama unampa wewe
Hilo ndio kimbilio lenu wanyonge msiotaka kuangalia hali halisi ya kidunia ya leo ambapo haki sawa imetamalaki.Mengine yote umeeleza na ujafafanua vizuri sana.
Na paragraph ya mwisho iliokaa kwa mtindo wa swali, jibu lake lipo wazi kwenye Bible na Quran zimeelezea kwa uwazi kabisa majukumu na wajibu wa Mke kwa Mume wake na Mume kwa Mke wake
Na wa hvo ukitaka muonane wabaya muulize "kwani hyo K unaniuzia" aisee utakoma lakin ki ukweli huyo anakua Ni Malaya tu Kama wengine japo anafanya umalaya indirect ways ...Mimi wa hvo unamchakata namlipa afu tusijuane nitakutafta nikihitaji huduma tenaDar kuna shida kubwa hili eneo. Wanawake wengi wadangaji hawana shughuli wala kazi maalumu za kujiingizia vipato. Hawa ndo wale ukikutana nao wataanza kulist matatizo yao lukuki kabla hujaweka ajenda yako mezani.
Wa namna hii akikuomba hela kama anataka elfu 20 atakwambia ntumie na ya kutolea.
Kuna wakati unawaonea huruma kwa kweli. Unatuma tu kisha unakuwa ushajua una deal na mtu wa namna gani
True kwa miaka hii. Ingawa watu husema kuwa mtu akidate muda mrefu sio poa ila me nasema inasaidia sana katika ku reveal character na mienendo ya mtu aliyonayo, wengi huwa hawawezi kufake muda mrefu.Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.
Pole sana Mkuu. Nadhani bado unamsaidia kisaikolojia maana anaweza kumpata mtu ambae akashindwa kumsoma vizuri kama wewe ulivyoweza halafu mwana akajikuta katumbukia kwenye tundu la kisoro ajilaumu. Mwisho wake huyo dada ajikute anaingia kwenye same cycle aliyoingia mama ake mzazi. Huwa wanabeba hizo chuki kwa vizazi vyao. Tena kama huyo akikutwa na same situation kama ya mama ake atamlisha sumu sana mwanae
Naunga mkono hoja kuwa mwanamke ukiona anatoa hela yake kwa ME kiroho safi ujuwe mapenzi yake kwako hayana ukakasi hata chembe...Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.
Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?πππ?
Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
Kwa hyo hata K tuile kwa jasho [emoji38]Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?
Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
Tatizo jinsia yenu mkifanyiwa hayo hamnaga shukurani! Ndiyo kwanza mnatoka huko mnakuja na kauli zenu za "mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja" basi sie tuna assume kuna wanawake wenzetu huko wanatusaidia kuhudumia hivyo tunarelax!Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.
Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?[emoji23][emoji23][emoji23]?
Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
Nije tupendane?!jibu ni NDIO
Ndiyo maana sipendi kutoka na mwanamke kilaza. Mtu anafanya kazi au ana hela zake kwa biashara azifanyazo lakini anataka mimi ndiyo nitumie hela zangu kumtunza yeye.....demu wa namna hii simlazii damu, namtema mara moja.Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.
Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?πππ?
Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka balaaKwa hii generation ukijitahidi kudate for more than 1 year na mmoja ujue umevumilia mengi sana, 2 years unaeza ukaota kipara kwa hiyo mikiki mikiki.
Hizi huwa zipo sana. Huwa tunatoa hela kisha tunajitoa ufahamu. Kule kwetu uswazi wanasemaga funika Kombe maisha yaendelee.[emoji23][emoji23] au anakuomba hela akakununulie zawadi
Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!Unajua hawa watu hutofautiana kwa malezi mkuu, kuna ambao wana roho safi (roho za kitajiri) na wengine wana roho za kwanini(roho za kimaskini).
If you come across a person with a rich heart na ambaye amelelewa vyema huwezi pata nae shida. Kuna watu wako more giving and trust me you need this kind of energy kufika peponi. Ukiwa na energy ya kujitoa pia hakika mapenzi yatakuwa ni mahali salama sana kwako.
Shida inayotukumba tunajitoa kwa watu ambao hawako tayari kujitoa ila kutunyonya. You end up looking silly.
Mungu atamsaidia kama na yeye ataji position kusaidika. It's back to backChuki mbaya sana hio dah, mungu amsaidie kwa kweli
Sijawahi kukutana na mwanaume ambae anaishi na mwanamke anamfulia na kumpikia na kumsaidia usafi kipindi wakiwa wachumba na huyo mwanaume asiwe anamsaidia binti pesa za mahitaji yake...... Wewe unataka kutuchanganyia mafaili hapa.....Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?
Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?