Mapenzi na Ujinga.

Mapenzi na Ujinga.

ni kwamba: Kuwa mjinga haimaanishi kwamba wewe ni mjinga. Hata mpenzi wako akiwa kwenye hali ya kujifanya anajua kila kitu, kubali tu kuwa mjinga ili penzi liendelee. Usipokubali kuwa mjinga huwezi kudumu kwenye relationship.

kidooogo naelewa kwa mbali
 
ni kwamba: kuwa mjinga haimaanishi kwamba wewe ni mjinga. Hata mpenzi wako akiwa kwenye hali ya kujifanya anajua kila kitu, kubali tu kuwa mjinga ili penzi liendelee. Usipokubali kuwa mjinga huwezi kudumu kwenye relationship.

mkuu nakubaliana kabisa na wewe,nafikiri ata mimi nimeweza kudumu kwenye mahusiano yangu na mama glory kwa muda mrefu kwasababu ya kujifanya mjinga sometime though mimi sio mjinga.....kuna falsafa moja niliwahi kuisoma humu jamvini ilikua inasema hivi "ili m'ume na m'ke wadumu ktk mahusiano inabidi m'ume ajue yule m'ke anaeishi nae pale ni kichaa na m'ke ajue yule m'ume anaeishi nae ni mjinga" wote wawili mkielewa hiyo concept hapo mambo ndani ya nyumba mbona yataenda bila wasi wasi tu.
 
Wengi hawadumu kwenye relationship kwa kujifanya wajuaji bila kujua kuwa mapenzi rafiki yake mkubwa ni ujinga; bila kuwa mjinga mapenzi hayaendi na kuwa mjinga haimaanishi kwamba wewe ni mjinga. So kubali kuwa mjinga ili penzi liendelee. Ukijifanya mjuaji kila siku utakuwa single na utakumbatia mito mpaka utakoma!
 
Haya haya hayaa! Kama kawa kama dawa ni wakati mwingine wa kutiririkaa! Aha ni mapenzi na ujinga... Yes ni mapenzi na ujinga kwa sababu huwezi ku-enjoy penzi la kweli kama wewe sio mjinga; na huwezi kudumu kwenye relationship kama wewe sio mjinga; mapenzi na ujinga ni marafiki wawili wanaopendana sana, huwezi kuwatenganisha. Wakati mwingine mpenzi wako anakukosea, lakini unaamua tu kusamehe, ingawa hukupenda kusamehe hilo kosa, lakini ujinga umefanya kazi yake na penzi linaendelea. So kubali kuwa mjinga hata usipoletewa zawadi na mpenzi wako, usikasirike endelea tu kuwa mjinga, bila kuwa mjinga mapenzi hayaendi. Hope wajinga wenzangu mmenielewa, tuendelee hivi hivi kuwa wajinga, tusipokuwa wajinga kila siku tutakuwa single; na kuwa single yahitaji moyo mgumu kama bati la South Africa.

umesema vema kabisa mkuu....hata kitabu chetu kile kimeandika....azinie na mwanamke hana akili kabisa.......Viva Solo life!!.....i'm living single and happy about it...😛eace:
 
Back
Top Bottom