Mapenzi na Uchawi: Wanawake mnatumaliza!

Hii ya uchawi ni kweli maana alifanyiwa mmoja wa family member wetu. Tena hawa wanawake ni wanafata pesa (Gold diggers). Lakini hawa ni baadhi ya wanawake wasiojua kutumia Common Sense. Lakini wanawake wengine mpaka Mungu anawabariki kwa jinsi wanavyojiamini na kujali familia zao. UCHAWI NI USHAMBA TU. UNAENDA KUPAKWA MASIZI YA MKAA KWA WAGANGA WA KIENYEJI.
 
Hii kitu ni nouma wahaya wanaiita shuntama....ni hatari, lakini hata baadhi ya wanaume hutumia miti shamba kudatisha akina dada na wanadata kikweli.Mimi ni shuhuda nimewahi kutumia hii dawa kwa mke wa mtu yule dada alichanganyikiwa na mimi mpaka nikaanza kuuogopa solution niliyochukuwa ni kuhama yale maeneo hili kuepusha mengi.
 
Nakubaliana na wewe lakini inapotokea mtu amejikwaa kidogo, tunatarajia arejee nyumbani kwake salama. Lakini siku hizi ni tofauti maana kurudi majaliwa. Hii tabia waiache akina dada! Wakubali ku-share hasa pale wanapojikuta wamependa waume za watu!
kwa nini wanaume usiseme waache tabia ya kutembea nje ya ndoa ?
 
Nico1 hebu nipe direction ya kuipata nimwekee MTU mmoja humu...
 
Last edited by a moderator:
utasingizia na uchawi tu zinakuwaga akili hamna tu
utasingizia na uchawi kumbe mapishi ni mazuri
utasingizia na uchawi kumbe kauri ya kuongea ni nzuri haina ukakasi
utasingizia na uchawi kumbe mwanaume anasikilizwa na siyo kutukanwa

Inawezekana na hayo yamo lakini hadi kubeba begi na kutelekeza watoto???
 
Nawakemea katika JINA LA YESU MWENYE NGUVU,WALEGEE KABISA,WACHAWI WOTE...
 

hahahaaa, siyo ushamba ni mauaji hayo! Maana watu wanakufa ndugu yangu
 
Nawakemea katika JINA LA YESU MWENYE NGUVU,WALEGEE KABISA,WACHAWI WOTE...

Ukimsikia mdada mwenzio anataka kutumia hiyo njia mkemee mpaka hilo pepo limtoke ndukiiiii
 
Nico1 hebu nipe direction ya kuipata nimwekee MTU mmoja humu...

Wahaya Nshuntama ipo ndiyo lakini hiyo ninayoisema ni zaidi ya nshuntama maana mke analogwa ili afe kabisa wakati mwanume anapewa shuntama! Two actions at ago!
 
jaman yoyote anaeifahamu basi aniambie maana naisaka haswaaa

Njoo kwangu mi ninayo hiyo dawa napatikana kinyenyenyezezeee uje na million 15 huyo unaemtaka kumuwekea dawa hata jitambua mpaka ukimuuliza jina lake anataja jina lako ukimuuliza mama yake nani anakutaja wewe ila uje na chozi la mnyama mmoja anaeitwa ndezi!!
 

Mie nashauri arogwe tu mpaka atie akili... Uchawi hauwezi kumshika mtu asiyeuamini...

Nina imani na Mungu wangu uchawi hauwezi kunishika kwa Jina la Yesu!!!
 

auwiiii we Hasadi kama ni dawa siitaki tena.naomba nitafutie Zinduna atakua anaifahamu
 
Last edited by a moderator:
Pole sana! Ulifanyaje nimwambie jamaa yangu aliyetelekeza watoto na mke hospitali ili arudi tena??

Mungu tu mkuu! hata sielewi. Lakini,alikiri kuwa mama yake ndiye alimdanganya akanifanyia hivyo!Naamini kuna watu waliniombea sana ingawa hata mimi wakati mwingine nilikuwa najiuliza nimekuwaje kupenda namna hii kiasi kwamba nikimkosa nakosa amani kabisa!Mungu tu aliingilia kati.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Me nadhan hujarogwa wewe ungerogwa mbona ungetia akili
 
si mtulie na ndoa zenu?
acha wawakalumanzile tu mtie akili!!
 
mimi nimeshudia mkaka wa miaka 33 anatembea na mmama wa miaka karibia 55 jipandikizi la mama kahaba limeshindikana mwanza nzima kijana kaonywa maonyo yote hasikii wala haelewi tena ukitaka ugombane nae mwambie amuache hilo jimama uchawi upo wengine wanarogwa na wazazi wao huyo mkaka alikua amerogwa na mzazi wake na hilo jimama na lenyewe likamuongezea midawa ndio future yake bye bye tena hawazi kuoa wala kuzaa ile future plan ya kua na maisha normal imempotea kichwani yeye nikunyia kazi malaya hasa hilo jimama anampa mshahara wooote kila siku jamaa hana hela la maana hakuna hajengi wala hanunui hata kijiko ni pombe na wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…