Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Durooo, aaah Durooooo................
Mapenzi yametokea wapiii, nani aliumba mapenzi? Nani anayachochea mapenzi?.........(hayaa wacha
yaendelee.............feel like am sinking........)
Mziki asili yake wapi? mziki ni wa nani? mziki hauna mwenyewe, mziki ni maombolezo..........................
Mziki asili yake wapieeeeh.............
Mziki ni wa nani eeehhh..............
Mziki hauna mwenyewe...........................
mziki ni wimbo...............................
mziki ni fundisho........................
mziki ni maombolezo kiliiioooooooooo.....
Usinione nikiimba Kasie mie............... ukadhani ninayo furaha...................... kumbe ninayo huzuni moyoniiiii............
Mziki ni agizo la Mungu ulimwenguni kote, hata kanisani wanaimba nyimbo kumuomba mungu, kumsifu mungu
kumwabudu mungu............
Hata kukiwa na sherehe za kiserikali kabla ya mwenyekiti kuhutubia mziki hutumika kukusanya watu.
Paulo na Sila waliimba gerezani Mungu akawasikia, Musa aliimba wimbo wa aina yake kuwakomboa wana wa israel
kutoka nchi ya utumwa - Misri.
Ukiwa na sherehe utaimba nyimbo za furaha.............
Ukiwa an huzuni utaimba nyimbo za masikitiko.....................
Ukifa leo utapelekwa makaburini na nyimbo za maombolezo.................
Ni mziki pekee ulio na nguvu ya kukusanya wabaya na wazuri, wanafiki na wachawi, warembo na wasio warembo,
weupe na weusi, wafupi na warefu, walemavu na wazima.........................
Mziki sio uhuni................ Mziki ni kama mchezo....................
Hata kwa Mungu malaika wanaimba nyimbo za kusifu na kuabudu............

Weka Kasie Remix sasa.................. eeh eeh.........
Zungusha kiuno eeh, chezesha mabega aah aah, tingisha kisigino ooh oooh, sugu goti uuuh uuh..............
Serebukaak............... serebuka baba serebukaah.................. serebuka mama serebukaah
Sina hamu Kasie mie looh, njaa haiji, nasikia baridi wakati wote, homa si homa, bora kuwa na kichefuchefu utatapika,
bora ukiwa na uchungu maana muda si mrefu utapata mtoto kuliko hii..................
Hata kwa Mungu malaika wanaimbaa.................

As usual Kasie anawatakia mchana mwema kwa waliopata lunch na ambao hawajapata lunch.