Mapenzi na mwanamke mpenda wanawake (biosexual)

Mapenzi na mwanamke mpenda wanawake (biosexual)

Rogie acha ushamba ndio 3some hiyo! mimi, Yummy, BADILI TABIA na Asprin, huwa tunafanya 4some! lolest! ni kasheshe.
Shhhhhhhh acha kumwaga kuku kwenye mchele kidogo!!

Jamaa mmoja alisikia kiu akaenda kwenye nyumba ya mmasai mmoja kuomba maji. Alipofika akamkuta mtoto akaletewa maziwa glasi imejaa. Akafurahi akanywa. Kesho yake akafanya hivyo hivyo akapewa maziwa tena.

Siku ya tatu yule mtoto akampa tena maziwa badala ya maji:

Basi jamaa akaona ngoja aulize na mazungumzo yakawa hivi:

Jamaa: We mtoto huku kwenu kuzuri eeh! Mgeni akiomba maji mnampa maziwa.

Mtoto: Eeh, kwa sababu hayo maziwa niliyokupa hapa nyumbani hakuna mtu anayanywa.

Jamaa: Kwa nini?

Mtoto: Sababu panya alifia humo:

Jamaa akashutuka akadondosha ile glasi ya maziwa aliyokuwa anakunywa. Mtoto kuona hivyo akamwita mama yake kwa sauti: Mamaaa, amepasua ile glasi ya bibi ya kutemea makohozi!
cleardot.gif

Duh shetani at work..mkuu i was in a similar situation like you..lkini this involved relatives..yaani mtu na dada ake..wote walikua wananipenda na wote nilikua nawatumia lakini kwa muda tofauti...na waliridhia bila tatizo..lakini baadae nikaja kuona huu ni ujinga na kujishushia heshima..natumika tu..mkuu..nikaona bora nitafute mwanake mwingine asie na upuzzi kama huo..unaweza ona poa sana ta the first time..lakin siku zinavyozidi kwenda unaona kuna umuhimu wa kua na mahusiano yenye mapenzi ya kweli na heshima.
 
kama yeye alivyokuwa na courage ya kukueleza ana mpenzi wa jinsia yake na wewe mwambie unampenda mwenzie coz anakupenda pia km ulivyosema ww. kisha mnaachana naye na kufunga ndoa na huyo ambaye unaamin mnapendana, usiogope kaka ndio dunia hii

Nakushukuru kwa ushauri wako.
 
Duh shetani at work..mkuu i was in a similar situation like you..lkini this involved relatives..yaani mtu na dada ake..wote walikua wananipenda na wote nilikua nawatumia lakini kwa muda tofauti...na waliridhia bila tatizo..lakini baadae nikaja kuona huu ni ujinga na kujishushia heshima..natumika tu..mkuu..nikaona bora nitafute mwanake mwingine asie na upuzzi kama huo..unaweza ona poa sana ta the first time..lakin siku zinavyozidi kwenda unaona kuna umuhimu wa kua na mahusiano yenye mapenzi ya kweli na heshima.

Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.
 
Kuna thread nyingine inabidi tu nipite kimya kimya......
 
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.

Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.

Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.

Kwa kifupi mkuu ulifaidi sana.Kama huo mzigo ni wa kujiburudisha usiache raha hizo,ila kama una mpango wa kuchukua jumla itakuja kukutesa sana.
 
Inafaa kama wote mnafurahia wa endelea kutafuna bana kila mtu na habari yake,afadhali we unakuwa muwazi na kama wote mnakubaliana poa we chapa mzigo,Kuna wanafiki wengine watesema mengi ukimchunguza ana videmu kama sita vimesambaaa mitaa mbali mbali,wengeni wazee wa tigo basi kila mtu na balaa lake. Nilishakutana na ishu kama yako lakini ya alimsindikiza rafiki yake ambaye namtafuna,sasa namuulia tukiingia maeneo rafiki yake atakaa wapi akasema hamna shida twende naye mpaka ndani mi nikala mzigo huku yeye kaka kwenye kiti nilipomaliza nikamkaribisha na rafiki yake nikachapa na yeye kisha nikasepa wote wakaondoka wamefurahi so ni suala la kukubaliana na kuelewana na kuchukuliana which are basics of any relationship.
 
Tatizo linalonikumba kama nilivyoeleza hapo awali ni mimi kuanza kuvutiwa zaidi kimapenzi na rafiki wa mpenzi wangu ambaye ninavyofikili na yeye anaonekana kunipenda. My girlfriend cares more not just in lovemaking but also in life as couple.

Wonders shall never end!!
 
Inafaa kama wote mnafurahia wa endelea kutafuna bana kila mtu na habari yake,afadhali we unakuwa muwazi na kama wote mnakubaliana poa we chapa mzigo,Kuna wanafiki wengine watesema mengi ukimchunguza ana videmu kama sita vimesambaaa mitaa mbali mbali,wengeni wazee wa tigo basi kila mtu na balaa lake. Nilishakutana na ishu kama yako lakini ya alimsindikiza rafiki yake ambaye namtafuna,sasa namuulia tukiingia maeneo rafiki yake atakaa wapi akasema hamna shida twende naye mpaka ndani mi nikala mzigo huku yeye kaka kwenye kiti nilipomaliza nikamkaribisha na rafiki yake nikachapa na yeye kisha nikasepa wote wakaondoka wamefurahi so ni suala la kukubaliana na kuelewana na kuchukuliana which are basics of any relationship.

Asante kwa ushauri wako.
Nakubaliana na wewe, Tatizo jamii yatu inatawaliwa na unafiki si wa kimawazo tu bali wa vitendo pia.

Ninatafuta ushauri hapa wa wazi kwa lile linalonisumbua katika mapenzi yangu. kuna watu hapa wanaanza kunipa shule kuhusu morality na ethics wakati hata wao siyo wasafi. Kibaya zaidi wanafanya yale wanayoyaita ''madhambi'' kwa siri wakiidanganya nafsi yao.

Better being ignorance than hypocrite
 
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.

Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.

Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.

Kama unazungumzia kutaka kuoa basi mtihani mgumu unao vinginevyo we endelea kufaidi tu. Na ujue kuwatenganisha hawa si rahisi hivyo kuamua kusepa na huyo unayempenda zaidi na kutomruhusu kukutana na huyo rafikiye itakuwa ni ndoto za alinacha.

Last edited by a moderator:
kweli dunia imekwisha. tendo ambalo linafanywa na watu wawili tena kwa kuficho, unahakikisha mapazia yamefungwa kama si madirisha ili mtu asichungulie, leo hii linafanyika hadharani. Watu watatu wanashuhudiana bila aibu..!!! mie nikiaa uchi wakati wa tendo, baadae hua najuta hivi kwanini nilikaa uchi. sasa nyie mko watatu... mnachorana tu, mkiulizwa "starehe"...!! hivi mungu kasafiri jamani???????
 
hivi ukimwi utakwisha jamani kwa tabia hizi? au ndio tanzania bila ya ukimwi haiwezekani?
 
Hao "biosexual" achana nao, hakuna mapenzi hapo
Mnacho kifanya ni kutuliza matamanio ya mwili tu
Mngekua na mapenzi kweli mngeoneana wivu sana
You were fulfilling a fantasy, it is done, now move on

Mapenzi ya kweli hayana threesome. :hand: :A S 112:
Nakushahuri uachane nao wote wawili, tafuta wako
Inakuaje unakubali mpenzi wako kum-kiss mngine?
Tena mbele ya macho yako? Halafu tena anaki-kiss?
 
tafuta mwanasaikolojia umwambie atakusaidia zaidi coz hta nkichangia stachangia kutatua tatizo.
 
Man unayo bahati ya ajabu, nasema hivyo couse huyo demu wako akichokana na huyo demu wake atamtafuta mwengine,yani wewe kazi yako ni kula vitu vizuri. Ushauri wangu, just enjoy the ride. :A S wink:

:biggrin1: i would have to agree with you. This guy is livin thru most guys fantasy. Banging two girls at the same time dayuuummm!!! Yaani yeye atakua anasubiri aletewe totoz hana mda wa kuhangaika kutafuta other girls wakati analetewa mpaka kitandani na his own girlfriend.
 
Back
Top Bottom