With this one I don't want you to think of anything, but conclude that I'm a fool!
king'asti i thnk i too am a fool in ths wacha tuone what the wise have to say!
With this one I don't want you to think of anything, but conclude that I'm a fool!
Sijajua kama tatizo lako ni ulesbo wa "demu" wako au mapenzi unayojisikia kwa "demu" wa "demu" wako!
Mbona mimi sioni tatizo, kama kuwala unawala wote endeleza tu uhusiano. Literally you have 2 people to care now, na huyo GF alikupa hiyo consent ulipokubali 3 some. Atakupenda zaidi, coz pia unampenda mtu wake.
Oa wote, ukisafiri hawatachiti; watamalizana wenyewe kwa wenyewe!
Maadili mapya hayo,ivi huyo mwanamke leo mme fanya hayo madudu na shogake ukakubali kesho akikuletea dume mwenzio
itakuwaje? au ndio nyie mnaowekwa na wanawake kina kula kulala? ebu wacha kujiaibisha ...
thread za usiku zinazoletwa na new members!!!
personally i wouldn't marry a woman with lesbian tendencies since i'm too monogamous for it and i want my lover to be with me only. that said, if u think u can handle 3somes regularly then go for it, just remember to set some rules for your relationship otherwise some1 will get hurt.
goodluck with whatever decision you take
Si ndo maana nataka umwambie Kongosho atujoin ili tupige 3some ya mwaka!!
sio lazima kila wanachofanya wakoloni
na sie tuige
anza kwa kumuomba Mungu wako msamaha, uwaombee msamaaaaaaha na hao mabinti
matendo mengine ndo yanaifanya hii dunia kunakuwa na majanga, magonjwa na vifo visivyokuwa na kichwa wala miguu
kumbuka kuna maisha baada ya haya tunayoyaishi hapa duniani
JUMAPILI NJEMA NA MUNGU WANGU NA AKUBARIKI
Sasa subiri na huyo wa tatu aje na mwanamme wake kutaka foursome, hapo ndio utaingia akili.
Inaelekea unapiga softcore zaid ndio maana wanapata nafas, unachotakiwa kufanya ujaribu hardcore game iliujue kama tatizo lao ni kuridhishwa au vp?
makubwa! au haumridhishi?........anyway,.....kufanya kosa c kosa,kosa ni kurudia!My take:acha wote anza upya
you are welcomeThanks a million for your advice.
Do you think, which rules are conducive to my situation?
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.
Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.
Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.
You are right, maana hata Sokwe hakubali kushare na ndio maana huwa wanaenda hanemuun kipindi cha heat! Source Nat Geo Wild channel!
Msemaji ukweli nafikiri kwa upande wa kupata kile roho inapenda endelea na huo mchezo na hiyo kumpenda zaidi wa pili kuliko wa mwanzo si kitu, kwani hata sisi tulio na mitala tunakiri kuwa mapenzi hayawezi kuwa sawa. Kama kwa kumpenda huyo wa mwanzo ulikuwa tayari kukubali kumkaribisha wa tatu bila ya hata kumjuwa basi pia si tatizo kuendelea na huo mchezo wenu wakati yule wa mwanzo humpendi sasna( najuwa unampenda ndio maana ukajali usimuudhi)
Kwa upande wa pili ni upande wa maadili au mpango mzima wa kimaumbile (nature) ya mahusiano ya mwanamke na mwanamme. Imeshabainika kuwa mola analolikataza huwa na nguvu ya kishetani kuonekana kuwa lina raha zaidi na kukaidi madhara yanayopatikana kwa hicho kilichokatazwa. Kwa kuangalia hivyo usije ukashangaa keshokutwa mnajaribu kumshirikisha mpenzi wa kiume wa huyo mwanamke wa pili na kuwa foursome na kuendelea, maana laana ina tabia ya kutaka sifa kiasi cha kutojali lolote mradi unapata utakavyo.
huyu ni bwabwa punga, you should ask for another man to join you ili muwe wanaume wawili, wakati wewe ukidokoa vile vile uwe unadokolewa...mwanaume mwenye akili sawa kama yeye pia sio bwabwa nusu, hawezi kukubali ***** kama huo...kwanza kabisa ni ushetani. ilishawahi kunikuta siku moja, nilikuwa na demu fulani, siku moja tukawa tunaanglaia kipindi cha salama jabir sijui ni cha mikasi...nikwamwambia unajua salama ni punga?...akastuka afu akanambia sikujua hilo ngoja na mimi akanisage...dah, niliishiwa nguvu, nilimbwaga kuanzia siku hiyohiyo...pamoja na kwamba aliniomba msamaha kuwa alikuwa anatania, utani kama huo ulimaliza upendo wangu kwake...hadi leo namchukia kuliko wanawake wote.