Mapenzi na mwanamke mpenda wanawake (biosexual)

Maadili mapya hayo,ivi huyo mwanamke leo mme fanya hayo madudu na shogake ukakubali kesho akikuletea dume mwenzio
itakuwaje? au ndio nyie mnaowekwa na wanawake kina kula kulala? ebu wacha kujiaibisha ...
 
Mbona mimi sioni tatizo, kama kuwala unawala wote endeleza tu uhusiano. Literally you have 2 people to care now, na huyo GF alikupa hiyo consent ulipokubali 3 some. Atakupenda zaidi, coz pia unampenda mtu wake.
 
Oa wote, ukisafiri hawatachiti; watamalizana wenyewe kwa wenyewe!
 
mnh! hiyo siyo nzur kabisa ,ni tofauti gani sasa unatengeneza na hayawani wengine wa mwitun ?katika hili ushauri ni mmoja tu na hamna option,u shud stop that habit now once and for all...you dont just say mpenzi wako,girlfriend wako or whatever you call her she just come and say those abomination halafu unakubari..here this were all human being and we all have different mistakes tumefanya maishani,........pesa ngono,mamlaka ni mambo mema yakisalimishwa chini ya mapenzi ya Mungu........sina tafsiri ya hicho mlichofanya but what i am vere sure about hayo hayakuwa mapenzi,ngono.mlikuwa mkiudhalilisha utu na ubinadmu wenu!h have mercy on us
 
Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie.
Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?.

Kwa ufupi:
Nimekuwa katika mahusiano na mpenzi wangu kwa zaidi ya miezi sita. lakini miezi miwili iliyopita aliniangushia kombora la maangamizo ya kifkra na kusema kuwa huwa pia anapenda wanawake na amekuwa katika mahusiano na mwanamke mwingine kabla ya mimi na yeye hatujawa wapenzi, na akasema, hakutaka kunieleza mwanzoni kwa vile alifikiri kama nisingemuelewa na pia hakupata nguvu ya kufanya hivyo(courage) lakini pamoja na kutokufanya hivyo bado wanaendeleza urafiki.
Baada ya maongezi marefu akaniomba kama ningemruhusu huyo rafiki yake kuja na kujumuika pamoja katika tendo la ndoa(threesome).
kwa shingo upande, nilikubali kufanya hivyo. Na kwa mara ya kwanza katika maisha yangu, nikafanya mapenzi ya pamoja na wanawake wawili na pia kushuhudia wanawake wakifanya pia mapenzi. I have to admit, it was great.
Tatizo kwa sasa ninaona kama pendo nililokuwa nalo kwake linaanza kupungua na kuhamia kwa yule rafiki yake ambaye pia ninafikili ananipenda sana kimapenzi.
What can I do to save my relationship due to the fact that my woman cares a lot.

Please, Changia kama una mchango chanya
REMEMBER:
It's better to be silent and be thought a fool, than to speak and remove all doubt.

Aibu kweli kweli! Kinachokutofautisha wewe na Bonobos (Pan Paniscus) ni nini sasa? Maana sioni tofauti!
 
Aibu kweli kweli! Kinachokutofautisha wewe na Bonobos (Pan Paniscus) ni nini sasa? Maana sioni tofauti!

You are right, maana hata Sokwe hakubali kushare na ndio maana huwa wanaenda hanemuun kipindi cha heat! Source Nat Geo Wild channel!
 
You are right, maana hata Sokwe hakubali kushare na ndio maana huwa wanaenda hanemuun kipindi cha heat! Source Nat Geo Wild channel!

Ajabu!Binadamu anazidiwa ustaarabu na sokwe,khaaa!
 
thread za usiku zinazoletwa na new members!!!
personally i wouldn't marry a woman with lesbian tendencies since i'm too monogamous for it and i want my lover to be with me only. that said, if u think u can handle 3somes regularly then go for it, just remember to set some rules for your relationship otherwise some1 will get hurt.
goodluck with whatever decision you take
 
My foolishness notwithstanding,I think you qualify for an idiot.
She tells you she‘s a lesbian,you stomach it,she goes ahead asking for a threesome and you freely consent. Then you come trumpeting it here,you think it‘s funy or we‘re gonna shower you praises?
If you don‘t approve it why do you stand it?You either condone it or dismiss it...but strange as u are,you don‘t..Makes me think a real african man is a rare specie these days!!

Like Your english pal
 
kaka nitarudi baadae nikushushie nyanga zangu za ukweli ila uweke jiwe mdomoni na mikono uifunge kwenye nondo za dirisha manake nitakupa makubwa pasi haya.
 
makubwa! au haumridhishi?........anyway,.....kufanya kosa c kosa,kosa ni kurudia!My take:acha wote anza upya
 
Hivi wakati girlfriend wako anakwambia mfanye threesome na ukamkubalia ulikua katika hali ya kawaida au ulikua umelewa??kama ulikua umelewa then acha pombe mara moja! Kama ulikua mzima bila alcohol then jua ulikosea sana na unachotakiwa kufanya sasa ni kustart afresh! Kati ya hao wanawake hakuna hata mmoja anayekufaa hata huyo mwingine umemtamani tu baada ya kumuona uchi..waache wote anza upya!!

Haya yametokea nikiwa katika hali ya kawaida Na situmii pombe

Thanks for your oadvice.
 
Back
Top Bottom