Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Nimemuacha maana ana tabia kinyume na matarajio. Ananiganda kila sehemu, anataka nimsindikize popote anapoenda, ana wivu sijawahi ona mpaka nikiwa kwenye group disc anakuja kukaa pale nilipo n hachangii wala hausiki kwenye group.

Siku moja nikawa na manzi mmoja mrembo sema nawaheshimu sana walokole, aliniomba nimpige picha tukawa tunazunguka around. Ghafla naona mtu huyo anatufata nikamtext kwamba aondoke akanuna sijawahi ona. Bahati mbaya sipo romantic (ndo maana hata sikushtuka nilipogundua ana mtoto) na ni no nonsense. Siku mbili mbele yule jamaa wa SUA akachomwa kisu, nikaona hamna maisha hapa ubatili mtupu.
Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.

Ila wanawake wa chuo usipokuwa makini unaweza ukawa unamauhusiano au kuoa single mother,huwa hawasemi Kama alishazaa ana mtoto.

Mimi kuna mmoja npo nae hajawai niambia wala kunionesha dalili Kama ana mtoto Ila nina wasiwasi nae sana kuwa anamtoto Ila ananifcha tu...
 
Mi nilianzishiwa mahusiano na mkaka mmoja...Ila kabla hatujakulana boom likaingia... Akasema baby basi tufanye hivi...Mimi nitunze maboom yetu yote ntakuwa nakuhudumia kila unachokitaka ili usitumie hela vibaya... Nikamwambia broooh...niache bhana..na block za kushato
 
Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.

Ila wanawake wa chuo usipokuwa makini unaweza ukawa unamauhusiano au kuoa single mother,huwa hawasemi Kama alishazaa ana mtoto.

Mimi kuna mmoja npo nae hajawai niambia wala kunionesha dalili Kama ana mtoto Ila nina wasiwasi nae sana kuwa anamtoto Ila ananifcha tu...
Umeona nn kwake mkuu?? huenda naeza kukusaidia...je,Ana picha ya katoto kwa wallpaper yake?.. first sign...
 
Hapa kuna kaukweli eeh
Yes...Kama anayo picha..na anaongeaga na katoto frequently..na anasema n katoto ka dada ake...verify kidogo bro..siku hizi tunazaa na chuchu hazilali Wala hatupati michirizi Wala naniuuu hazikui pana...Ila ka anakupenda tulia..pambania hiyo kombe
 
Nimemuacha maana ana tabia kinyume na matarajio. Ananiganda kila sehemu, anataka nimsindikize popote anapoenda, ana wivu sijawahi ona mpaka nikiwa kwenye group disc anakuja kukaa pale nilipo n hachangii wala hausiki kwenye group.

Siku moja nikawa na manzi mmoja mrembo sema nawaheshimu sana walokole, aliniomba nimpige picha tukawa tunazunguka around. Ghafla naona mtu huyo anatufata nikamtext kwamba aondoke akanuna sijawahi ona. Bahati mbaya sipo romantic (ndo maana hata sikushtuka nilipogundua ana mtoto) na ni no nonsense. Siku mbili mbele yule jamaa wa SUA akachomwa kisu, nikaona hamna maisha hapa ubatili mtupu.
Aliemchoma ni huyo demu wako au??? ungefata wew
 
Umeona nn kwake mkuu?? huenda naeza kukusaidia...je,Ana picha ya katoto kwa wallpaper yake?.. first sign...
Ahahaaa....ulijuaje mkuu,kuna sku alnpa sm yke ntumie nkaona kakaweka katot kamefanana nae...na huwa anakapost japo Mara chache.

Npe sign nyingne mkuu nijiridhishe zaid japo adi sasa Nina asilimia kubwa kuamini anae..
 
Mambo ya familia za watu hayanihusu mkuu.... Niache nipike chai ya mdalasini hapa
 
Ahahaaa....ulijuaje mkuu,kuna sku alnpa sm yke ntumie nkaona kakaweka katot kamefanana nae...na huwa anakapost japo Mara chache.

Npe sign nyingne mkuu nijiridhishe zaid japo adi sasa Nina asilimia kubwa kuamini anae..
Siku uombe kuongea na hako katoto..dai kuwa "natamani kuongea na haka katoto kapigie basi...kanaonekana kajanja..sikiliza katavomuita...ndo game over"
 
Usipokuwa Makini eti ujikute "nimenyony in nyanyu" unakufa Kaka tapeli Yule ndo maana miguu inamnuka
kaniacha hoi eti hapo umpe aweke yeye, wee utatumia vibaya, khaaaaaah mbna aliua band kabisaaaaaah uwiiiih
 
Duuuh...huyo alikuwa ana utoto mwngi japo wamemzalisha mapema.

Ila wanawake wa chuo usipokuwa makini unaweza ukawa unamauhusiano au kuoa single mother,huwa hawasemi Kama alishazaa ana mtoto.

Mimi kuna mmoja npo nae hajawai niambia wala kunionesha dalili Kama ana mtoto Ila nina wasiwasi nae sana kuwa anamtoto Ila ananifcha tu...
Kuna jamaa mmoja alidate na dada mmoja katutangulia mno na ana mtoto mkubwa tu. Wakati tupo form one, yeye ndo kahitimu form four.
Sema nimekuja gundua wote wenye watoto wana ushirikiano fulani, jana nilikaa pembeni yao wakamshangaa mwenzao mbona hajampost mtoto wake aliyekuwa na bday juzi. Kumbe aliwa-hide watu, walikuwa watatu wakaanza kujadiri watoto wao. Pia girls wengi wanatambua wenzao wenye watoto.

Kuna wengine wako very proud, ajabu kuna wengine ndo mcharuko maradufu. Na iko hivi, huwezi watambua kwa macho. Mimi na ujanja wangu wote sikuambulia kitu. Yani wote huwatambui kwa appearance yoyote. Lakini wengine wana matunzo ndo maana unadate nao wala hawana habari na pesa zako.
 
Back
Top Bottom