Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Mke wangu nimesoma naye diploma na hatimaye degree
 
hakuna kazi ngumu kama kushindana na hisia hasa kwa vijana then hata mazngra ya vyuo nayo yanachangia sana kua na mahusiano, kama umeweza sijui utakua umetumia njia gani?
Chuo bana,,,unaweza ukaenda ukiwa na lengo zuri la kupata 1st Class ila ukashangaa tu ghafla umedumbukia katika jahazi la mahaba na akina manka na haika.

Ni ngumu hasa unapoona wana wakiwa mapenzi road wakifanya yao 😎😎😎 kipindi unatoka prep. Mara umealikwa kwenye birthdays yani warembo kama wote...mara mmoja amewaka na styles zako ni kupiga mkojo tu.
 
[emoji23] [emoji23]
 
Dah nlimpendaga Sana M..... yaani nkakosa Hadi kula kisa huyu demu

alikua Kama tomboy hivi Ila sura nzuri ,ziwa la maana!

alikua anapiga mizinga Hadi sio poa( yaani mizinga haswa!!)

alikua ananilingia saaana anajua nnampenda,kumbe kunajamaa mwingine wa faculty nyingine anatoka nae

Mzee baba full kununua bundle za wiki yaan
Ukipiga hapokei,hizo message zenyewe utata
Siku ukisikia neno my(kunakizinga kinakuja kaaaaaa mbalii)
Nkawa nnamuomba Sana outing nnanunua vyakula ale Ila tukiagana tu! (Anasahau alikua na Nan,kiasi kwamba mkikutana kwa mbele anaweza akusalimie Tena[emoji1][emoji1][emoji3])
Basi nlipoona yamefika shingonii mwanaume huyoo ,nkakamatwa na mtoto wa kiislam huyoo duh(huko naomba nisiongee)maana ameshaolewa
Maisha ya chuo yakapita tukamaliza
Anajua nnakazi anasumbua balaa ,yaani balaa
Ila nikikumbuka vizinga vyake ,nahofia ATM card yangu kutengengeneza ufa![emoji3][emoji3][emoji3]
 
mkuu huu ulifaa uwe uzi rasmi kabisa na si kuuweka kwenye comments
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuchakata uchakataji wa bikra
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bro ulijirahisisha sana ndo maana wakawa wanakupiga vizinga
 
Mara ya kwanza najiunga chuo diploma nna umri wa miaka 20 sikubahatika kuwa na demu chuo nilikuwa nanunua Shivaz,nikaenda chuo kingine certificate koz nyingne nikiwa na miaka 21-23 huko pia skuwa na mpenz ingawaje niljaribu tongoza na madem wakawa wanajgonga ila kpesa skuwa Sawa kuweza kugharamia inshu za kugegedana,2015 nkaenda chuo tena diploma ualimu huko ndo nilfaidi mapenz ya chuo mpaka nkatafuta chumba mtaan ili nfaid mapenz nilikuwa na demu mmoja tu alinpenda sana na alkuwa ananifanyia kla ktu kama mke mpaka chakula alkuwa anaenda kunchukulia,tulipomaliza chuo akataka nimuoe afu nilikuwa cjamkubal sana pia skuwa poa kpesa,akaanza harakat za maisha,mi nkarud chuo tena ila baadae nkaacha baada ya kupata kaz,ila tulkuwa tunawasiliana kama kawa,mwez wa kwanza mpaka huu jamaa limoja likampga mimba,mwez wa 3 akaomba kukutana na mim,tukakutana nkarutubisha kama kawa kila alpokuwa anahitaj kuonana na mim mpaka kafkisha miez saba kastisha kuja
 
Mapenzi mazuri yapo secondary chuo huko nasikiaga full vizinga na show off kibao
 
Reactions: _ly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…