kama ulikua bikra naweza kubaliana nawe bt kusingizia koziweki haimake sense mkuuMimi nawashangaa ninyi, mliwezaje kukimbizana na koziweki pamoja na mapenzi? Hivi muziki ule unapata wapi hata muda wa kuwa na nye.ge?
kama ulikua bikra naweza kubaliana nawe bt kusingizia koziweki haimake sense mkuuMimi nawashangaa ninyi, mliwezaje kukimbizana na koziweki pamoja na mapenzi? Hivi muziki ule unapata wapi hata muda wa kuwa na nye.ge?
Eti nasingizia, kwani nilikuwa nafanya kosa hadi nionekane najitetea?kama ulikua bikra naweza kubaliana nawe bt kusingizia koziweki haimake sense mkuu
sio kosa mkuu, bora hata ungesema mapenzi hakikua kipaumbele chako wakati huoEti nasingizia, kwani nilikuwa nafanya kosa hadi nionekane najitetea?
Ndio, kwa sababu ya koziwekisio kosa mkuu, bora hata ungesema mapenzi hakikua kipaumbele chako wakati huo
haya bhanaNdio, kwa sababu ya koziweki
Mkuu Uko mkoa gani ivi saivi na mawindo yako. Sema muda huu umri umesogea nakomaa kwa future nzuri ya wanangu. Ningekutafuta pia kosa jingine nishaoa LA sivyo ningekutafuta. Binafsi chuo Nakumbuka nimefungua chupi zaidi ya 40+ afu peku peku sema ni bao LA kwanza tu LA pili natumia mpira. Mkuu ila big up sana binafsi nimeinjoi life LA chuo.Sio uzembe kaka...huko ndio kuishi kaka chuo unatakiwa uburudike na maburudani bwana huku kitabu kinapanda.
Mie mpaka leo mawindo ni maeneo ya vyuo tuu...namba mpya mpya tuu.
Mkuu Uko mkoa gani ivi saivi na mawindo yako. Sema muda huu umri umesogea nakomaa kwa future nzuri ya wanangu. Ningekutafuta pia kosa jingine nishaoa LA sivyo ningekutafuta. Binafsi chuo Nakumbuka nimefungua chupi zaidi ya 40+ afu peku peku sema ni bao LA kwanza tu LA pili natumia mpira. Mkuu ila big up sana binafsi nimeinjoi life LA chuo.
Nilikataa sana yaani nimepiga puli miaka sita yote ni boarding afu boys tupu na chuoni tena nipige puli nikakataa nikasema acha nisiunyime moyo.
Yaani chuoni kuna mtoto unakutana unajiuliza hivi huyu huwa anatoaga mavi kama ya kwangu.
Mpaka kumpatia Gari mpatia na nyumbani kama una uwezo na unaona tu sawa.
Yaani nilifika chuo ni full pamba na kupendeza sema MIE sio MTU wa unyunyu wala mafuta ama losheni yaani ni kuoga na pamba zinanikaa na urefu wangu na miwili uliojengeka. Nikikutana na mtoto hasumbui kuitoa namba.
Hii ni kwa Tanzania tu.
Bado nilivyokuwa rashia.
Binafsi hakuna muda ambao nimeenjoi life kama nikiwa chuo LA bata.
Khaaaaaah makubwa haya lolSafi mkuu...huo ndio muda wakuenjoy sana...sometimes nawaza sijui nikajiandikishe kozi yoyote tuu pale chuo niwe nazugazuga tuu huku naenjoy maburudani ya pale![]()
Khaaaaaah makubwa haya lol
Mimi sikuwa na mahusiano na wanachuo ila walikuwepo mademu wawili niliowaacha O level wakaja mjini so nikawa nawapangia ratiba tuWakuu.
Kwa wale ambao tumesoma hadi ngazi za vyuo (diploma, certificate, Degree n.k), kwa namna moja au nyingine, baadhi tulipata kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi.
Mimi nilipoanza first year tu pale chuo cha mlimani, nioikutana na mtoto mmoja wa kichaga ktk registration, tukajenga urafiki na kuzunguka wote chuo kipindi chote cha orientation, na tulipopata boom la kwanza nikamwomba nimtoe out akakubali. Tulivyokua dinner nikamwaga verse akakubali na siku ile nikala tunda.
Aliendelea kuwa mpenzi wangu hadi mwaka wa tatu alipovishwa pete ya uchumba na jamaa flan wa in service ambaye alikua keshatoa posa kabla ya kuja chuo. Tuliachana baada ya tukio hilo.
Nitaelezea mahusiano yangu mengine mengi huko chini.
Je, ulipokua chuoni ulikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanachuo mwenzako? Uhusiano ulidumu? Mlipomaliza chuo uliendelea nae?
Hongera sanaaKila mtu na starehe yake yakheeeee
Ukiwa hakuna LA kufanya ama umeshapatia mirija ya pesa inaingia hata ukiwa umelala kama anayemiliki program ya ubber, mpesa ama formula ya koka mkuu. Yeye ni kulala tu ila Hela inasoma mkuuSafi mkuu...huo ndio muda wakuenjoy sana...sometimes nawaza sijui nikajiandikishe kozi yoyote tuu pale chuo niwe nazugazuga tuu huku naenjoy maburudani ya pale🤣🤣🤣🤣🤣
Bia what?...Labda azaliwe Mara ya pili...hamna kituuuj...likaka nalizidi kila kitu linajua kuvaa nguo za vitambaa na tai za pundamilia tu
.. boom langu
![]()
... 

Walikupiga pin MkuuWengine tulivyoingia tu tukakabidhiwa Misikiti bila kutaka.


Eeeh anaibana na kale kakibanio Cha Tai Cha kung'aang'aa...Eti tai ya pundamilia...
![]()




Hii course nimeiona hapa moyo ukafanya paaaaaaaaMimi sikuwa na mahusiano na wanachuo ila walikuwepo mademu wawili niliowaacha O level wakaja mjini so nikawa nawapangia ratiba tu
Ila sitasahau jamaa yangu mmoja alikua anamla mke wa mtu kisa course za linguistics noma sana. Alimtafuna anavyotaka


