Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Dah nawaonea huruma sana hawa mabinti ninao watatu (sijawai kuoa Mimi japo nimepanga nje). Wawili wako first year tena wako serious japo hawajuani lakini kila mmoja namuona yuko deep. Mwingine yuko second year huyu ndio kachanganyikiwa kabisaa. Cha kusikitisha Mimi ndio namaliza Chuo nimeuza kila kitu nabeba virago vyangu narudi kwetu hata graduation sirudi, maana kila mmoja ukisikia story yake ameipania sana graduation yangu kuliko maelezo....sitaki kugonganisha magari wakati nimekua smart mda wote ......
 
UDSM?
 
halafu kuna watu wanajiona ni wife material!!!! hivi kuna mwanamke kafika chuo bila kutumika?? nakumbuka chuoni mzumbe pale upanga kwenye masomo ya jion. tukitoka tunachukuana kwenye magari na tunabeba wake za watu. kuna discussion binafsi zinafanyika sana gesti na hawa wake za wenyewe. halafu ukiangalia profile status yake ni maneo ya MUNGU MUNGU TU 1 Wakorintho 7:5
 
Sisi walala hoi Mungu pekee ndo anajua tunayoyapitia huku mtaani kuhusu hawa mabinti wa chuo.

Niseme tu kwamba sitokuja kumwamini binti yeyote wa chuo.

Nakumbuka alivyonifanyia binti mmoja niliyekuwa nae kitaa na tuliahidiana mambo mengi lakini mwisho wa siku mwenzangu akachomoa betri kisa mwanachuo wake.
 
Bia what?... Labda azaliwe Mara ya pili...hamna kituuuj...likaka nalizidi kila kitu linajua kuvaa nguo za vitambaa na tai za pundamilia tu.. boom langu
sasa alitaka akutunzie boom lako wee nae lol,
 
Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilikuwa bado nina mapenzi mazito na binti nilomuacha kitaa enzi hizo....kuingia mwaka wa pili ndo nikaanza kuoa oa hapo chuoni....karibia kila semester nilikuwa naishi na demu mpya gheto kwangu....mabinti wa Diploma na certificate wanapenda sana mteremko chuo wakijua uko unasoma Bachelor.... Tulikuwa tunabadilishana sana mademu na masela yaaani...mpaka nawaza binti yangu itakuwaje akienda chuo dah
Malipo ni hapa hapa dunian
Utavuna ulicho panda
 
Back
Top Bottom