Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,933
Hata nanii ?jino linauma sana
hasa usiku
sijui kwanin maumivu yoyote huzid wakati wa usiku
Hata nanii ?jino linauma sana
hasa usiku
sijui kwanin maumivu yoyote huzid wakati wa usiku
Unasema???Hata nanii ?
Hata maumivu ya kuongeza binadamu duniani huwa makali sana usiku ?Unasema???
Sijui labda ukajaribu utapata jibu la swali lakoHata maumivu ya kuongeza binadamu duniani huwa makali sana usiku ?
Ukishafanya utanijulishaSiju
Sijui labda ukajaribu utapata jibu la swali lako
Ukishafanya utanijulisha
Wewe utanijulishaTutajulishana mfyuuu zako
Wana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi.
Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka nikafananisha kama maumivu ya JINO. Sasa sijui kati ya JINO na MAPENZI kipi kinauma zaidi.
Naombe sana kwa anayejua
Jino unang'oaMapenzi hayana cha dawa yakupunguza maumivu
Hahahaha kwenye ukoo mkorofi peke yako Bina ShadeeyaBinamu Chumchang Changchum eti yupi kamzidi mwenzie mana mie nimetoka kapa hapa.
Nimebakia kucheka tu kwa baadhi ya comments za wadau. 😂
Ahsante 🤣🤣Pole Binamu. 😂😂
JinoWana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi.
Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka nikafananisha kama maumivu ya JINO. Sasa sijui kati ya JINO na MAPENZI kipi kinauma zaidi.
Naombe sana kwa anayejua
inategemea una wapenzi wangapi, mimi nafikiri jino ndiyo kiboko !! mpenzi tena ?Wana JF, jana nikiwa pande za Beach na madada nikawasikia wanasema eti MAPENZI yanauma, sasa kila nikifikiria sipati jibu. Haya mapenzi yanauma vipi.
Kwakua nilishawai kuumwa jino basi haraka nikafananisha kama maumivu ya JINO. Sasa sijui kati ya JINO na MAPENZI kipi kinauma zaidi.
Naombe sana kwa anayejua