Usiombee, maumivu ya jino ni zaidi ya kutahiriwa kwa sime bila ganzi!Usifananishe kuumwa jino na vitu vya kijinga
hujawahi jikwaa mguu kidole cha mwisho kwenye tendegu la kitanda wewe..usingefananisha kbsa na hayo maumivu ya kitoto
Usiombee, maumivu ya jino ni zaidi ya kutahiriwa kwa sime bila ganzi!
Daaahh, umenikumbusha mbali sana.hujawahi jikwaa mguu kidole cha mwisho kwenye tendegu la kitanda wewe..usingefananisha kbsa na hayo maumivu ya kitoto
Mkuu nadhani mleta mada hajawahi umwa jino huyu.Usifananishe kuumwa jino na vitu vya kijinga