Mapenzi na jino kipi kinauma Zaidi?

Binafsi sijawahi invest sana kwa watoto wa kike au kwenye mapenzi, ila nimeinvest sana kwenye meno yangu kwa kula vyakula vyenye sukari kama pipi, chocolate na all the likes.

Na mpaka sasa nishang`oa meno matatu, kwa hiyo naweza sema maumivu ya JINO ni makali zaidi tena hasa nyakati za usiku.
 
hujawahi jikwaa mguu kidole cha mwisho kwenye tendegu la kitanda wewe..usingefananisha kbsa na hayo maumivu ya kitoto
 
jino linauma sana
hasa usiku
sijui kwanin maumivu yoyote huzid wakati wa usiku
 
Mmh jino sio kitoto,ila pia ujue kutofautisha kati ya physical injuries na psychological injuries,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom