Mapenzi na dada ambaye ni mwanajeshi

Mapenzi na dada ambaye ni mwanajeshi

Habari za jioni waungwana

Nilikuaga na mahusiano na dada mmoja wayback tukiwa tunasoma baada ya muda tukapoteana ila nilivyofika chuo nikakutana nae ila baada ya kama mwezi yule dada akaacha chuo akaenda jeshini.

Mahusiano yangu na huyu dada yanazidi kunoga na hapa tulipofika nafikiria nimuoe. Ila kila nikifikiria n mwanajeshi moyo unasita. Wenye uzoefu na mliooa wanajeshi naomben experience

Nawasilisha
Siku ukipigishwa kwata na kichura chura na wanajeshi wenzake usituombe ushauri hapa malizana nao mwenyewe😀😀
 
Usithubutu achana nae atakupotezea muda wazuri lakini ishu mabosi wao sijui kama wamestaarabika au wanawachukulia kama viporo vyao kama kawaida
 
Utakuwa unasaidiwa sana kazini kwake yaani hilo ukae ukilijua kabali ya yote.
 
Back
Top Bottom