Mapenzi n nn? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi n nn?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by twenty2, May 1, 2012.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba mnisaidie mapenzi n nn?may b npo wrong na ninavyofikilia.
   
 2. m

  manasa Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni wingi wa neno penzi linalotokana na upendo.
  UPENDO huvumilia,hufadhili,hauhusudu,haitakabari,haujivuni,haukosi kuwa na adabu,hautafuti mambo yake,hauoni uchungu,hauhesabu mabaya,haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja katika kweli,hivumilia yote,huamini yote,hutumaini yote,husthimili yote maneno si yangu yanatoka 1 wakorintho 13:4-7 hope nitakuwa nimekusaidia some how.
   
 3. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kwani we uliyekuwa naye awali alikuambia mapenzi ni nini?
   
 4. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kunijibu
   
 5. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajaniambia na ndio maana nikauliza
   
 6. m

  manasa Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibu tena lv
   
 7. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante nmeshakalibia si unajua maisha kuangaika na ndio mana mkaona kmya.
   
 8. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ni upendo bila chuki.
   
Loading...