Mapenzi....mnh!

Mapenzi....mnh!

Kwa kungwi kukiliwa hata kwa mwali pia huliwa
Mbu kheri?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hapa nakumbuka nyimbo mbili.

1. Beautiful Monster wa Ne-Yo

2. Heartless wa Kanye West.

lols
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
kawaida yao hawa watu, umaarufu watafutwa kila sekunde, pesa kwao ni kitu cha kawaida.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwakweli nimeamini samaki huvuliwa mara moja, naamini jamaa akisha mtia mimba kilakitu kitakuwa kunyume chake
 
Maty, Maty, Maty,

Mbona unabeep hivyo mdogo wangu? Kulikoni?
 
Last edited by a moderator:
huyo jamaa alifumaniwa na mke wake ndo huyo akamwomba msamaha ili asiachwe mwanamke ndo akampa hadhabu ya kutembea kama mbwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom