Mapenzi....mnh!

Mapenzi....mnh!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,876
.....maskini, ImageUploadedByJamiiForums1397322869.237769.jpg #buzi linapelekwa kuchunwa.

Cc: Dark City, @aspirin, Teamo, Rock City, The Boss, MTM, EMT et al....


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Mapenz ya mwanaume kukupa mshike mshike nayo mazuri sio mwanaume ndiyo ndiyo kila kitu sometimes anatakiwa akorome kidogo na wewe mwanamke ujione unakidume ndan lkn kama huyu neh ! Neh ! Siwezi
 
Angemtia kamba puani Kama maksai ingekuwa bomba zaidi
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jaman haya haya mapenz ya dunia hii or anaota
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ingekuwa kwetu huku
Lazima wangesema limbwata
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Unataka kunambia kuwa huyo mwanamume ni mzima kuanzi chini hadi juu?

Haiwezekani swahiba wangu Mbu!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom