Mapenzi mbashara ya clouds media na kukosa mvuto

Mapenzi mbashara ya clouds media na kukosa mvuto

me napenda yule anayeogeshwa .. mie handsome mie sura kama boko......... mapenzi mubashara sema mi sekereki kirahisi nafurahia tu
 
...Hivi Mubashara si ni Live au moja kwa moja? Ni kwa namna gani mapenzi yanaweza kuwa mubashara? napata shida na hiki kiswahili kwa kweli...Why wasiseme '' MAPENZI MOTO MOTO''?
yani unatakiwa uonyeshe live mapenzi kwa mwenzio bila ya hata kusua sua.. wengine mishazoeana hata kubusuana mnaogopana ha hahaha mapenzi mubarasha
 
Instagram ikifungwa,clouds tv itakosa mvuto(vipindi vyake vingi ni copy na paste kutoka insta)
 
We mwenyewe unaebisha na kulalama oooh sijui clouds wamefanyaje, wewe hapo umetokana na mapenzi sa sijui tatizo liko wapi.

Hicho ni kitu kiko kwenye maisha yetu ya kila siku usikute wewe hapo hata wiki haijaisha tangu uzini
 
Wanatumia nguvu nyingi kuhamasisha mapenzi ngono na zinaa tu baasi anaeshabikia hii akapimwe
 
We mwenyewe unaebisha na kulalama oooh sijui clouds wamefanyaje, wewe hapo umetokana na mapenzi sa sijui tatizo liko wapi.

Hicho ni kitu kiko kwenye maisha yetu ya kila siku usikute wewe hapo hata wiki haijaisha tangu uzini

mkuu ata siku ijaisha!
 
Tamthilia ya kelele ilimshinda luge, kila kitu hao clouds wanaona kama wanaweza kumbe malofa tu
 
....Kwa hiyo wewe unapenda vya baridi? normally tunapenda vya moto moto i.e ugali/mboga za moto; chai/kahawa ya moto; demu wa motomoto; mapenzi moto moto!!!
aisee mi inategemeana
 
Naomba msaada

Hivi ile ni siku ya wapenzi au ni siku ya wapendanao

Pengine tukianzia hapo ndipo tutafakari hawa jamaa kama wanahamasisha mapenzi au wanahamasisha upendo

"Valentine Day" kama ilivyon sioni tatizo lake ila nadhani watangazaji ndio wanachanganya kati ya upendo na mapenzi, mapenzi yatabaki kuwa mapenzi na upendo utabaki kuwa upendo tu.
 
Back
Top Bottom