Mapenzi-Maslahi/Malengo mbele kwanza. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi-Maslahi/Malengo mbele kwanza.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gbollin, May 30, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  If Your Wife/Husband Ain't Give You Any You Got The legal Right To Get Some.
  Epuka kupotezewa muda na fiance wako, kama hana mwelekeo mpige chini haraka afu ni-pm mimi.

  MY TAKE: Akili za kupewa, Unachanganya na zako.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri kuna kitu kumbe bora nilale!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Pole saana na maudhi ulopata kwa huyo umpendae... ndo maisha worry not yatapita!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo wote wake mwa waume wakuPM?!
  Utawapa nini wote?!
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hapa kuna mambo mawili. Maslahi na mapenzi yenyewe. Ni mambo yenye utata ndani yake kwani unaweza kuona unapendwa kumbe kinapendwa kile ulichonacho. Au unaweza kuwa na upendo wa kweli lkn ukaachwa kwasababu tu ya hali yako ya kimaisha. Lkn ni wengi waliokutwa na matatizo baada ya kusahau msemo huu 'mtaka nyingi na saba hupata mwingi msiba' na wakaukumbatia msemo wa 'mkono mtupu haurambwi' baada ya kupotosha maana yake halisi
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  i don't think you have any legal right ...
  if you don't get any sort it out ..
  if you cant sort it out by yourself
  try canceling
  you are not happy with canceling
  Get a divorce .. Don't you try to get any when your marriage
  ...

  I'm out
   
Loading...