Mapenzi magumu jamani!

Mapenzi magumu jamani!

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Ni wakati mgumu umemkuta rfk angu na jirani yangu!

Ana mchumba wake aliyemtolea mahari na wanasubiri kufunga ndoa.

Mungu kawapa Neema ya ujauzito na katika hali isiyo ya kawaida binti alitoa ujauzito bila kumshirikisha mwenza wake akidai umetoka bahati mbaya.

Kinachotia hofu zaidi ni kuwa katika suala hilo binti hakutaka kuambatana hospitali na mchumba wake na badala yake akaenda kwa kujificha na bishost mwenzie!

Una mshauri nini huyu kijana? Akadai mahari yake na kumpotezea binti?

Au achukulie poa na mapenzi yaendelee?

Chukulia hili limekukuta Wewe, ungefanyaje??
 
Ni wakati mgumu umemkuta rfk angu na jirani angu!
Ana mchumba ake aliyemtolea mahari na wanasubiri kufunga ndoa.
Mungu kawapa Neema ya ujauzito na ktk hali isiyo ya kawaida binti alitoa ujauzito bila kumshirikisha mwenza wake akidai umetoka bht mbaya. Kinachotia hofu zaidi ni kuwa ktk suala hilo binti hakutaka kuambatana hospitali na mchumba ake na badala yake akaenda kwa kujificha na bishost mwenzie!
Una mshauri nini huyu kijana? Akadai mahari yake na kumpotezea binti? Au achukulie poa na mapenzi yaendelee? Chukulia hili limekukuta Wewe, ungefanyaje??

sasa tumshaur yy ndo aloleta hoja hapa???atasoma???
 
mimi mapenzi jamani naona yananishinda ... kwa kweli kama lishatolewa mahari kilichomfanya atoe ni nini? mimi sina ushauri aisee lohhh!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna kitu nahisi kipo hapo - Kuna uwezekano mkubwa kua ujauzito sio wa rafiki yako alitaka kumbambikia

Rafiki yako bora ampotezee huyo mchumba hafai sababu muuaji
 
Pengine kuna kitu kibaya huyo kijana alimfanyia huyo dada...Mambo ya mapenzi yana mengi...Au huyo dada hakuwa anampenda huyo kaka...Ila km huyo dada angekuwa hampendi asingeshika mimba, angepiga chenga tuu...pia asingekubali kuolewa....Itakuwa labda kuna tatizo huyo kaka aseme vizuri...Na waongee kiupendo sababu na kuombana msamaha warudiane...Km hawatoelewana basi kila mmoja ashike hamsini zake wasijesumbuana mbeleni...(Bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa atajuta)
 
Kuna kitu nahisi kipo hapo - Kuna uwezekano mkubwa kua ujauzito sio wa rafiki yako alitaka kumbambikia

Rafiki yako bora ampotezee huyo mchumba hafai sababu muuaji

Mie nahisi harufu tofauti hapa na ile aijuayo jamaa...
 
kwani walilazimishwa kutiana?

vimtu viko mjini lakini havijui mipango, aargh!
 
Hivi ni kwa nini utoe mimba? Ukija kukosa mtoto ukiwa katika ndoa utamlaumu nani? Binti umeshachumbia na mimba ukapata sasa unaogopa kitu gani? Ninahisi hii mimba si ya jamaa!!! Ambane binti vizuri ampe sababu za msingi, kama hakuna amteme.Mtu hawezi kuniulia mtoto wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom