nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
kwani walilazimishwa kutiana?
vimtu viko mjini lakini havijui mipango, aargh!
Dadiiiii... unda kamati kwaajili ya hili tatizo sugu...
How are you?
kwani walilazimishwa kutiana?
vimtu viko mjini lakini havijui mipango, aargh!
Usiwe na presha, subiri kwanza ntakwambia..
Leo anaitoa mimba, tena tayari yuko engaged na kalipiwa mahari, baada ya miaka miwili au zaidi kidogo kwenye ndoa bila hiyo hiyo mimba atakuja mbio hapa kulalamika ....jamani nimehangaika kila hospitali, waganga wa kienyeji na hata IVF nimefanya...blaa blaaa...Viumbe hawa kuwaelewa wanachokitaka ni kaaaaazi kweli.
Upande wa pili wa stori (ambae ni huyo dada) hatujausikia. Kwahiyo hatujui huyo rafikiyo amemfanya nini mpaka kufikia huo uamuzi
mamiiiiii! how are youuuu??... mitho thana!Dadiiiii... unda kamati kwaajili ya hili tatizo sugu...
How are you?
Sawa kiongoziMie nahisi harufu tofauti hapa na ile aijuayo jamaa...
mamiiiiii! how are youuuu??... mitho thana!
naja mamii nikupe zawadi aisee... mvua inanyesha sana huku mabwepande!
Nasubiri. Utimize ahadi
Dadiiii... umepotea.. af sijui hulalagi usiku!!!
Anasema hawakuwa na migogoro yoyote. Ila bidada alikuwa analalamika kuwa jamaa hamjali
1. Akitapika hamsaidii
2. Akimtuma Malta anaenda kwa shingo upande
3. Jamaa alikataa kumvisha Pete ya uchumba kwao siku ya kutoa mahari na akamvishia kanisani mbele ya baba paroko(hakupenda)
4. Jamaa alinegoshieti sana na kwa muda mrefu ili apunguziwe mahari toka 1.8M mpaka 1.5M huku akikataa deni la mahari
5. Kwa sababu no.4 nduguze wakamcheka kwa dharau kuwa hapendwi na kuwa binti analazimisha ndoa.
6. n.k (kama yapo ila hayajasemwa).