Mapenzi magumu jamani!

Mapenzi magumu jamani!

huyo bidada hafai kwa kweli tena muuaji kwa nini atoe mimba na ana mchumba bora amwache tu kwa kweli
 
kwanza kisa cha bishost kutoa hiyo mimba ni nini ilhali ni ya huyo atakaemuoa?mh! kuna kitu hapo kinafichwa..
 
Hv cku hizi mtt wa kike dili eeee,mi nakumbuka cku ya kwenda kutolewa mahari niliwaambia wazazi wasitake hela nyingi,kweli haijazidi laki mbili,coZ mm sio mbuzi niuzwe,huyo kaka amteme tu,hakuna mapenzi hapo!
 
Ukioa kwa maskini wanataka watajirkie kwako mie niliambiwa ng'ombe 3 na makorokolo kibao hela ya shangazi, bibi, mama, mablanket, mashuka, jembe, acha kabisa mwanaume zilinitoka kama 2m! Then mwanamke anakuletea ushenzi thubutu yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom