Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,903
- 27,617
Ataruka kuanzisha Uzi kuwa anaempenda anamuomba hela🤣 🤣
Ataruka kuanzisha Uzi kuwa anaempenda anamuomba hela🤣 🤣
usijidanganye, hajakukataa kwa sababu ya umri, kuna zaidi ya hapoJana nilibubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kukataliwa na mdada fulani kisa kanizidi miaka miwili.
Nilikaa nikajiuliza kwa hiyo hii miaka miwili inatufanya nisitimize adhma yangu ya kuwa nae kimapenzi?
Jamani wewe kama dada unamkataa mwanaume aliyechini yako kiumri lengo lako linakuwa ni lipi sasa?
Bado nampenda na nitaendelea kumpenda japokuwa hana nia na mimi,ipo siku ataishi nami pamoja
Sio mbaya kuwa na mahusiano na mdada mwenye kukuzidi 2yrs.
Nakupenda sana my love japo umenikataa kwa kigezo cha umri.
wewe endelea kutangaza damu ya Yesu.usijidanganye, hajakukataa kwa sababu ya umri, kuna zaidi ya hapo
aaah jamaa anatumia jina la the love of my life....eti Emmy alafu ni lovely alafu ni mwanaume.. . Kazi ipoooDah uja log out
😂 itakuwa kajisahauaaah jamaa anatumia jina la the love of my life....eti Emmy alafu ni lovely alafu ni mwanaume.. . Kazi ipooo
Nimeshangaa sana kuna Emmy wa kiume anayejiita lovely kabisaLovely Emmy ? Wewe ni Me ?
Dah !
akijibu usisite kuniitaLovely Emmy wewe ni tom boy au ??
Sawaakijibu usisite kuniita
holoholo wa zamani mkuu mwambie hivyo na mtani wangu mganga wa kienyeji kutoka Tangu Tate MkuuLovely Emmy wewe ni tom boy au ??
Kumbe ni mtani wako ila hujanijibu jamaniholoholo wa zamani mkuu mwambie hivyo na mtani wangu mganga wa kienyeji kutoka Tangu Tate Mkuu