kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,625
- 12,171
Umetufariji sisi wazee
Acha uongoomimi ni holoholo nimechange user name wala usibabaike.
Ni hololoo ila bado sijaaminiakijibu usisite kuniita
Ina maana Holoholo ameleft grupuNi hololoo ila bado sijaamini
SIjajua sasa tumulize Tate Mkuu tunaomba majibu hololo kaleft groupIna maana Holoholo ameleft grupu
Sio wote mie nimempata mtu tajiri yeye ana 26 mie 30+ nikakataaa kijana anamaduka dar na hapa ana hardware ana supermarkets mbili moja dar na arusha iko moja . Ana duka za spea za magari ,ananyumba 3 moja ipo sakina arusha mbili zipo dar . Ukiacha mali alizonazo kwao wanahela balaaa ningeolewa naye saivi na mtoto 1 naningeolewa kiheshima ila sasa naogopa huo umri na mie ni aibu kuvua kiupi . Hadi naleo anataka kunioa mie naogopa nazima simu .Tafuta hela kwanza,
Ukisha zipata,watakuja kupanga foleni wenyewe,tena wa kila aina na wa kila umri,
Kisha unajichagulia tu.
Wanaume tulio na asili ya kiume hata nikipenda vipi kumlilia demu mwiko na nikimpenda sana demu kumuoa mwikoJana nilibubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kukataliwa na mdada fulani kisa kanizidi miaka miwili.
Nilikaa nikajiuliza kwa hiyo hii miaka miwili inatufanya nisitimize adhma yangu ya kuwa nae kimapenzi?
Jamani wewe kama dada unamkataa mwanaume aliyechini yako kiumri lengo lako linakuwa ni lipi sasa?
Bado nampenda na nitaendelea kumpenda japokuwa hana nia na mimi,ipo siku ataishi nami pamoja
Sio mbaya kuwa na mahusiano na mdada mwenye kukuzidi 2yrs.
Nakupenda sana my love japo umenikataa kwa kigezo cha umri.
Sawa sawa kabisa.Wanaume tulio na asili ya kiume hata nikipenda vipi kumlilia demu mwiko na nikimpenda sana demu kumuoa mwiko
Hizi ni code za wanaume tu wavulana mpka wakasome
Kwani unaogopa kuvua chupi huko kwenyewe kuna nini kipyaSio wote mie nimempata mtu tajiri yeye ana 26 mie 30+ nikakataaa kijana anamaduka dar na hapa ana hardware ana supermarkets mbili moja dar na arusha iko moja . Ana duka za spea za magari ,ananyumba 3 moja ipo sakina arusha mbili zipo dar . Ukiacha mali alizonazo kwao wanahela balaaa ningeolewa naye saivi na mtoto 1 naningeolewa kiheshima ila sasa naogopa huo umri na mie ni aibu kuvua kiupi . Hadi naleo anataka kunioa mie naogopa nazima simu .
😃Jana nilibubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kukataliwa na mdada fulani kisa kanizidi miaka miwili.
Nilikaa nikajiuliza kwa hiyo hii miaka miwili inatufanya nisitimize adhma yangu ya kuwa nae kimapenzi?
Jamani wewe kama dada unamkataa mwanaume aliyechini yako kiumri lengo lako linakuwa ni lipi sasa?
Bado nampenda na nitaendelea kumpenda japokuwa hana nia na mimi,ipo siku ataishi nami pamoja
Sio mbaya kuwa na mahusiano na mdada mwenye kukuzidi 2yrs.
Nakupenda sana my love japo umenikataa kwa kigezo cha umri.