sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Akuuuuu! Mie hayanihusu.
Khaaaa...
Akuuuuu! Mie hayanihusu.
Taanzaje kukuacha? Unajua tunakile kiapo kitakatifu?
Na hao pia?
Kati ya kumi watakaokataa hawazidi wawili
Tafiti bin researchmmmmmhhh umefanya tafiti au mtazamo tuuu
shida ya mwanaume siku zote i wazi.............Mimi nimetokea wengi jf hamna hata mmoja aliyechomoa.
Nazani hamna mwanaume anayekataa
shida ya mwanaume siku zote i wazi.............
Wazinzi
ukijipeleka lazima waku..................Wazinzi
ukijipeleka lazima waku..................
Nmefurahi kwa sababu nipo kwenye kundi la hao wawili kati ya kumi!Kati ya kumi watakaokataa hawazidi wawili