miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
hapo Ndio anaweza weka sawa ...?
Naona anaweza akaweka sawa mkuu....!mzima lakini?
hapo Ndio anaweza weka sawa ...?
ha haaaa, na akikuta anaimba kwaya na yeye ajiunge, kazi itakuwa rahisi zaidi
aaah kazi kweli kweli hii elimu yetu nataka kuamini iko chini ya kiwango , huyo ni kijana msomi na baada ya miaka kama 2 atakua na masters.ha haaaa, na akikuta anaimba kwaya na yeye ajiunge, kazi itakuwa rahisi zaidi
ahahaaaa ILA YESU NI MWEMA AISEEE...KAMA SIO YEYE SIJUI .MI NAMPENDA SANAnakubaliana na wewe kabisaaaaaaaaaaaaaa rafiki
vicheche ndo wanahangaika....
ila mabinti wa kilokole utaona mimba tu zinakua......
Nampongeza sana Mungu kwa kuweka njia moja tu ya kupata mimba....... tungekuwa tunadanganywa mpaka tukome
me nampa bg up huyo dd kwa mcmamo wake. Huyo ndio kat ya wale waschana walio lelewa wakaleleka. Sio mschana anatongozwa asbh jion anagegedwa.
NB:
Kwa sababu huyo rafk yako anapenda vya kunyonga mwambie aende bugurun akajzolee sz yake.
hata kuisoma inatia uvivu
Stress za kujitakia?
Mwache mpaka pale akili italapomkaa sawa atajirudi mwenyewe kwa huyo binti
nakubaliana na wewe kabisaaaaaaaaaaaaaa rafiki
vicheche ndo wanahangaika....
ila mabinti wa kilokole utaona mimba tu zinakua......
Nampongeza sana Mungu kwa kuweka njia moja tu ya kupata mimba....... tungekuwa tunadanganywa mpaka tukome
Vijana bwana! Mambo yenu yananichosha! Its hard to believe kuna mtu anamaliza chuo Virgin!!!!!!!! (With the exception of my self coz im still a virgin cc The Boss)
Kwa hio huyo rafiki yako wanakaa wanadscuss kabisaa leo unipe papuchi hio! Damn!!!!!!!!!!! What happened to going with the flow. Mnakaa tu, nyege zinawaanza, mnalianzisha kidogokidogo ukija kustuka USHALIWA!!!!!!!! TENA KWA MKOPO ambao ni BAD DEBT huwezi kuurecover!!!!!!!!
Hizi mambo za kudiscuss hazifikagi mbali coz the answer is always FLAT NOoooooo!!!!!!!!!!!!!! Mtu umpe chansi ya kufikiria na kurudia muongozo wa ze Bible afu akubali!!!? Unachekesha walionuna!
MAMBO YA BABA NA MAMA NAWAACHIA WENYEWE!!!!!!!!!!! Akuuuuuuu! Mi bado mdogo mtoto wa watu!