Mapenzi kizunguzungu

Mapenzi kizunguzungu

CALMAN

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
190
Reaction score
56
Habari wana jf!

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu dsm ninayehitimu mwaka huu , nina rafiki yang ambaye nitahitimu nae ni rafiki yng kwa muda mrefu sn alinitambulisha mpenzi wake (binti) ambaye alikubaliana nae kumuoa miaka michache baadae binti kwa sasa ni mwalimu shule ya msingi ajira mpya lakin ktk mahusiano yao huyu rafik yangu alikuwa anadelay mawasiliano kisa yule binti alikuwa hataki kufanya mapenzi kabla hawajaoana 7bu ikiwa yeye ameokoka kufanya hvyo anaona maisha yake yote yatakuwa hayana amani na hatokuwa huru kweny tendo lakin mambo mengne yote bint yuko safi , uchumba wao umedumu kwa mwaka 1 na nusu sasa ilitokea jamaa kaacha kupga wala kupokea cm ya yule bint nae akaamua kukaa kimya jamaa kuona hvyo akamtumia sms mbona kimya mi nataka kuendelea na mambo yng bint akajibu uwe na amani zote so mpaka sasa anasema hawana mawacliano tena na jamaa muda mwng anamawazo meng kwmb bado anampenda,mim nlimpgia cm yule bint nkamuuliza hajambo shemeji ambaye ni rafki yng akasema mzima lkn amewacliana nae muda kidogo. Sasa naomben mawazo yenu nimshaur nin huyu jamaa kupunguza stress je aombe kurudiana nae na bint kama akisema hayupo tayar kurudiana maana ni mwez wa 3 no communiction afanyeje. polen kwa kuwachosha. nawaclisha
 
Stress za kujitakia?

Mwache mpaka pale akili italapomkaa sawa atajirudi mwenyewe kwa huyo binti
 
Mtafute jamaa mmoja anaitwa mzabzab huwa ni mtaalamu sana wa ushauri wa ishu kama hizi......
 
Last edited by a moderator:
Stress za kujitakia?

Mwache mpaka pale akili italapomkaa sawa atajirudi mwenyewe kwa huyo binti
Kwani mapenzi yanalazimishwa?
Kama mtu ukiona hupendeki unahamia Airtel (Utakakopendwa kwa dhati)

Ningekuwa mimi ningeshahamia Airtel long time na km panazingua nako namove faster kwingine khaaaaa shida ya nini na option ni za kumwaga meeeen
 
staki nataka bana................
nakupa hii njia mshike mkono rafiki yako kisha muanze kuspin pamoja halafu umwachilie kwa nguvu wakati spinning speed ni kali atakachokipata basi ndicho jibu
 
staki nataka bana................
nakupa hii njia mshike mkono rafiki yako kisha muanze kuspin pamoja halafu umwachilie kwa nguvu wakati spinning speed ni kali atakachokipata basi ndicho jibu

mh! Dada gfsonwin naomba muongozo wa spika!
sijakuelewa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Hayo ndo madhara ya binti mlokole yaani moyo wake kampa yesu yaani hatikisiki hata kidogo.
Wa kutikiswa hivyo ni sisi vicheche sio binti mlokole tehe tehe tehe utachora chini huu mwaka.
 
Vijana bwana! Mambo yenu yananichosha! Its hard to believe kuna mtu anamaliza chuo Virgin!!!!!!!! (With the exception of my self coz im still a virgin cc The Boss)

Kwa hio huyo rafiki yako wanakaa wanadscuss kabisaa leo unipe papuchi hio! Damn!!!!!!!!!!! What happened to going with the flow. Mnakaa tu, nyege zinawaanza, mnalianzisha kidogokidogo ukija kustuka USHALIWA!!!!!!!! TENA KWA MKOPO ambao ni BAD DEBT huwezi kuurecover!!!!!!!!

Hizi mambo za kudiscuss hazifikagi mbali coz the answer is always FLAT NOoooooo!!!!!!!!!!!!!! Mtu umpe chansi ya kufikiria na kurudia muongozo wa ze Bible afu akubali!!!? Unachekesha walionuna!

MAMBO YA BABA NA MAMA NAWAACHIA WENYEWE!!!!!!!!!!! Akuuuuuuu! Mi bado mdogo mtoto wa watu!
 
Last edited by a moderator:
Genye tu zinamsumbua. Mwambie atafute kimwana mjanja kunako majambo...
 
Umemaliza kila kitu!
 
Last edited by a moderator:
Atafute kanisa analosali nae akaoke.....watakutana kwenye mikesha.
 
Hayo ndo madhara ya binti mlokole yaani moyo wake kampa yesu yaani hatikisiki hata kidogo.
Wa kutikiswa hivyo ni sisi vicheche sio binti mlokole tehe tehe tehe utachora chini huu mwaka.

mhm...wee kicheche!?
 
Hayo ndo madhara ya binti mlokole yaani moyo wake kampa yesu yaani hatikisiki hata kidogo.
Wa kutikiswa hivyo ni sisi vicheche sio binti mlokole tehe tehe tehe utachora chini huu mwaka.
nakubaliana na wewe kabisaaaaaaaaaaaaaa rafiki
vicheche ndo wanahangaika....
ila mabinti wa kilokole utaona mimba tu zinakua......
Nampongeza sana Mungu kwa kuweka njia moja tu ya kupata mimba....... tungekuwa tunadanganywa mpaka tukome
 
Back
Top Bottom