Tehe tehe eliiii,yes i was still virgin
Haha sio tandaleone ila ni member wa jf
Boy wangu wa sasa anamwacha mbali xana,yani hamfikii hata robo ya maujuzi kunako 6kwa6
Kwa hiyo before that hukuwahi pata mgegedo wowote? (Samahani najua ni nje ya mada)
Hapana hakuwahi kunigegeda tulianza mahusiano tukiwa form 6
Ni dumb na loose gals ndo huwa wanagegedwa sec skul its very rare 4a smart gal kugegedwa sec ask kaunga will tell u
Mie ni wife material tena i can make bonge la wife ka michelle obama but nimegundua africans men hawana shukrani wala mapenzi ya dhati so nimeamua kutoitaka hiyo label ya wife in my life
Haha shosti tatizo mie sina habari na ishu za ndoa simfil hata tone ila namwonea huruma alivyo desperate hope atapata wife material aoe
Habari zenyu banaaa wakati niko a levo niliwahi fall in love deeply like never b4 . Kijana mwenyewe alikuwa handsome usipime ,ila msela baada ya kugundua nampenda alinitesa xana,nilikuwa naumwa mapenzi ati. Well tukatengana wakati huo tuko chuo,akatangulia kumaliza akapotea,nami nikafinito nikaingia kitaa. After mwaka tukameet nikiwa na job yangu naye mambo yake safiii,nikamwuliza aje aje?nafac bado ipo kwani mi niko singo kimtindo akasema no chance and he is about to get married. Niliget hurt 4sure. Bac ukawa mwisho wa mawasiliano kati yetu since then.Sasa majuzi nimekutana naye kikazi,after kikao akaomba tukachill sehemu. Tukala na kunywa vya kutosha then kanipa mkanda oooh i didnt marry the lady kumbe binti alikuwa na jamaa yake na ndo alimwoa after ujauzito, akanambia so gal ka vipi lets get married nimegundua u are ma true lover coz ulinipenda since skul na sikuwa na kitu. Nikabaki kinywa wazi kwani simfil kivile tena nadhani ulikuwa utoto na hata standing yangu kuhusu ndoa imechange sana tu. Vijana penda unapopendwa na bahati haicome twice.
Mie ni wife material tena i can make bonge la wife ka michelle obama but nimegundua africans men hawana shukrani wala mapenzi ya dhati so nimeamua kutoitaka hiyo label ya wife in my life
African men wapo decent tutake radhi, he will never make you sleep with a dog kama ngozi nyeupe.
Habari zenyu banaaa wakati niko a levo niliwahi fall in love deeply like never b4 . Kijana mwenyewe alikuwa handsome usipime ,ila msela baada ya kugundua nampenda alinitesa xana,nilikuwa naumwa mapenzi ati. Well tukatengana wakati huo tuko chuo,akatangulia kumaliza akapotea,nami nikafinito nikaingia kitaa. After mwaka tukameet nikiwa na job yangu naye mambo yake safiii,nikamwuliza aje aje?nafac bado ipo kwani mi niko singo kimtindo akasema no chance and he is about to get married. Niliget hurt 4sure. Bac ukawa mwisho wa mawasiliano kati yetu since then.Sasa majuzi nimekutana naye kikazi,after kikao akaomba tukachill sehemu. Tukala na kunywa vya kutosha then kanipa mkanda oooh i didnt marry the lady kumbe binti alikuwa na jamaa yake na ndo alimwoa after ujauzito, akanambia so gal ka vipi lets get married nimegundua u are ma true lover coz ulinipenda since skul na sikuwa na kitu. Nikabaki kinywa wazi kwani simfil kivile tena nadhani ulikuwa utoto na hata standing yangu kuhusu ndoa imechange sana tu. Vijana penda unapopendwa na bahati haicome twice.
Yani sina hata chembe ya filings juu yake,na ninae wangu anipaye raha kwa sasa