Sugamamy wa Mombasa wateka wanamziki wa Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugamamy wa Mombasa wateka wanamziki wa Tanzania.

Discussion in 'Entertainment' started by Mtoto wa Mkulima, Jan 19, 2008.

 1. Mtoto wa Mkulima

  Mtoto wa Mkulima JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2008
  Joined: Apr 12, 2007
  Messages: 687
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duh kweli mambo ya Pwani soo. Jamaa wamezama kwa mapenzi ya mashuga mamy. Jisomeeni wenyewe.
  http://www.youtube.com/watch?v=fEJzZ5W9Axw
   
 2. Nzokanhyilu

  Nzokanhyilu JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2008
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,087
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  uh-uuuuu-huh yakhee yakhee....
  Haha.
   
 3. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 135
  MWM hebu nitafutieni kashule ka muziki jamani, na mimi nataka niwe mwanamuziki, boksi za ulaya zitaniua jamani, mgongo wote unawaka moto, si bora na mie nikauze sura huko mombasa? Mhh lakini nsikia pia kuna mimende kibao kwa hiyo kama mwanaume kisura chako nyororo unaweza ukajikita mikononi mwa basha!
   
 4. p

  polovoski kimani New Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naweza pata shuga mama
   
Loading...