Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,626
ehehee nipe contact zakeSina hisia juu yake tena jamaa kasettle kiuchumi na status now yuko desperate kupata mke maskini sasa akiangukia kwenye himaya ya nikiwe si atachanganyikiwa bureee

We ni wife material?sitaki lawama
We unasema sec, watu wanagegedwa primary... Chezea genye weyeyaani ukiwa sec ulikuwa unagegedwa ? daah aisee
ila mkubali tu ndo mzuri huyo
Ndio tunajua xana
True ila mostly kwenu men
Mie ni wife material tena i can make bonge la wife ka michelle obama but nimegundua africans men hawana shukrani wala mapenzi ya dhati so nimeamua kutoitaka hiyo label ya wife in my life

hahaha!nilitaka tu kujua kama ni member wa humu jfHaha sio tandaleone ila ni member wa jf