labda kawa mpole baada ya kupata alichokuwa anatafutaNi member mzuri wa jf sema kawa mpole na descent xana kaacha ubad boy wakati ndo ulofanya nimpende enzi hizo saivi anabore
Sio wote bana....u have not tasted all au sio...
Siwezi kurudi huko nimekuwa mjanja xana saivi nachagua wa kula naye bata nikihitaji
Wasichana wote wameanza mapenzi baada ya high school, amazing huh!
Siwezi kurudi huko nimekuwa mjanja xana saivi nachagua wa kula naye bata nikihitaji
Hapana hakuwahi kunigegeda tulianza mahusiano tukiwa form 6
No it wasnt just infatuation yani nilikuwa namtazama afu nawaza hivi ni huyu kweli?manake sikufil chochote na wala sikumbuki hata how we used to be nakumbuka tu aliwahi nitesa sana
Uko tayari kufanywa spear? Na wewe muoneshe u a expensive, full mapozi na kunata uone kama atahimili....kama ni Mungu amekupangia awe wako atahimili vishindo vyako tu