Mapenzi kizungumkuti

Mapenzi kizungumkuti

nikiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
775
Reaction score
345
Habari zenyu banaaa wakati niko a levo niliwahi fall in love deeply like never b4 . Kijana mwenyewe alikuwa handsome usipime ,ila msela baada ya kugundua nampenda alinitesa xana,nilikuwa naumwa mapenzi ati. Well tukatengana wakati huo tuko chuo,akatangulia kumaliza akapotea,nami nikafinito nikaingia kitaa. After mwaka tukameet nikiwa na job yangu naye mambo yake safiii,nikamwuliza aje aje?nafac bado ipo kwani mi niko singo kimtindo akasema no chance and he is about to get married. Niliget hurt 4sure. Bac ukawa mwisho wa mawasiliano kati yetu since then.Sasa majuzi nimekutana naye kikazi,after kikao akaomba tukachill sehemu. Tukala na kunywa vya kutosha then kanipa mkanda oooh i didnt marry the lady kumbe binti alikuwa na jamaa yake na ndo alimwoa after ujauzito, akanambia so gal ka vipi lets get married nimegundua u are ma true lover coz ulinipenda since skul na sikuwa na kitu. Nikabaki kinywa wazi kwani simfil kivile tena nadhani ulikuwa utoto na hata standing yangu kuhusu ndoa imechange sana tu. Vijana penda unapopendwa na bahati haicome twice.
 
ah puppuy love hizo...u were infatuated bwana sio kwamba ulimpenda
 
No it wasnt just infatuation yani nilikuwa namtazama afu nawaza hivi ni huyu kweli?manake sikufil chochote na wala sikumbuki hata how we used to be nakumbuka tu aliwahi nitesa sana
ah puppuy love hizo...u were infatuated bwana sio kwamba ulimpenda
 
Hapana hakunikataa tuliamua tutengane kwa muda tuangalie kama itasaidia thats y tulipokutana the second time nikamwuliza kama bado yupo available or ashamove on,ndo akanambia he was about to get married
alafuu naee huyo sio mwanaume....ukishamkataa demu never ever go back on ur word....flipfloping is a sign of weakness
 
yaani ukiwa sec ulikuwa unagegedwa ? daah aisee
ila mkubali tu ndo mzuri huyo
 
Hapana hakunikataa tuliamua tutengane kwa muda tuangalie kama itasaidia thats y tulipokutana the second time nikamwuliza kama bado yupo available or ashamove on,ndo akanambia he was about to get married

yeah he had decided to move on so y come back to u baada ya the other gal kubebwa na wajanja...amechoka huyo bwana
 
Nani hapendi mgegedo?mie am agaist marriage ila priviledges zake kama s3x nazifagilia sana haha

dah basi ngoja nitume maomba ya sexmate...sii hutaki ndoa bwana sie twagegedana tuu lol
 
Sina hisia juu yake tena jamaa kasettle kiuchumi na status now yuko desperate kupata mke maskini sasa akiangukia kwenye himaya ya nikiwe si atachanganyikiwa bureee
oke maana kingekuwa kina phd sasa
ila mkubali tu jamaa huwezi jua mpende akupendae
 
No hajachoka amekuwa mature kiasi flani mapepe yameisha anamiss wife tu kwa nyumba yake
yeah he had decided to move on so y come back to u baada ya the other gal kubebwa na wajanja...amechoka huyo bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom