Mapenzi kizungumkuti

How Romantically and Tragically sad. It is so Romeo and Juliet.
 
mbona wanawake watupu? au mapenzi ya jinsia moja unamaanisha?
 
Teh teh wajinga wawili . Always watu wote wanaojiua ni mafelias
 
Hata kama walijiuwa kweli basi itakuwa siyo 7bu ya mapenzi
 
Teh teh wajinga wawili . Always watu wote wanaojiua ni mafelias


Tema mate chini dear.... Usiombe yakukute wala yamkute ndugu yako.... Ni nuksi ambayo hakuna hutarajia kamwe yatamfikia!
 
Aisee!! So they did for love. God forbid..
 
Hao ni wahindi,,, kujiua kwao ni kitu kidogo sana,,sishangai
 
huyo ni sharban na recka wamejiua cku ya wapendanao baada ya babake recka kumkataa sharban ndo wakajiua pamoja ili waende dunia mpya pamoja iyo ni kulingana na barua waliocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…