gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,022
Kwaio we ni maiti mkuume niliwahi kufa kwa kupenda

Mzee hii ni ndotooo...!!Mwaka jana 2017 ni moja ya mwaka nilio ishi kwa furaha sana
Nakumbuka kuna siku niko geto nacheza game ikaingia sms imethibitishwa umepokea sh 15000 kutoka kwa (jina geni silijui kabisa) nika waza uyu atakua amekosea ngoja niiache atairudish mwenyew nikaendelea kucheza game siku kama 3 zikapita ile pesa bado ipo Nikaona sio case wacha niitumie ilo likapita...
Iyo ilikua kwenye mwezi wa 7 ivi mwaka jana tena kwenye Mwezi wa 11 mwanzoni ikadhibitishwa tena nimepokea sh 120,000 laki na ishirini jina geni kabisa ilikua majira ya mchana kufika jioni pesa bado ipo.
Alie kua mpenzi wangu akaja geto ikabidi nimwambie kwamba nimepokea pesa sijui imetoka wap na mpaka sasa bado ipo....
Alicho nijibu " BABE TUITOE NIKA NUNUE KUKU NA VIAZI TUKAANGE TULE KABLA SIJAONDOKA " mimi nikasema Hapana tuiche mpaka kesho, mezani kulikua na sh. 30000 akaichukua akasema anaenda kuemea ana ham sana na kuku wa kukaanga, basi akatekelza azma yake zikapit siku kama 2 nimekwish itoa ile pesa bila kumpa taarif.
Tulikua tunaongea kwa sim usiku akaniomb nimtumie 2000 anunue mbs nikamwambia mpesa aina kitu "akajisahau akaniambia ile pesa nilio kutumia "akaishia apo nikamuuliz pesa gani ulio nitumia akaji gonga gonga mwisho wa siku akaniambia ile 120,000 mimi ndio nilikutumia kupitia kwa wakala akanikumbush na ile 15000 pia alinituma yeye na sikuwah mwambia kuhusu iyo 15000 ..na kwa kipindi hicho maisha yalikua yame balance tu sikuwa na shida kiivyo wala wasiwasi wa kupata mlo kamili..
Yule binti alinionyesh mapenz ya sayari nyingine kabisa
Mungu amjalie oko aliko maisha yake yanyooke...
Tuli enjoy sana Maisha kipind chote tulicho kua pamoja....

ukiamkaa kemea kabisaa pepoo lishindweeMzee hii ni ndotooo...!!ukiamkaa kemea kabisaa pepoo lishindwee
sio ndio iyo rikiboy nilipenda ninapo pendwa ila ni enzi izoWewe jamaa bado unagegeda kama kawaida yako. Nakumbuka 2013 wewe ndiye uliyeanzisha hili neno humu. Inabidi ukabidhiwe tuzo aisee....Hahaha mlisex ndio nini hahaha uliza mligegedana?
Hakusahau alikuwa anatafuta namna ya kukujulisha kuwa ni yeye aliyetuma ndiyo maana akakukumbusha hata 15000 ya mwanzo.Mwaka jana 2017 ni moja ya mwaka nilio ishi kwa furaha sana
Nakumbuka kuna siku niko geto nacheza game ikaingia sms imethibitishwa umepokea sh 15000 kutoka kwa (jina geni silijui kabisa) nika waza uyu atakua amekosea ngoja niiache atairudish mwenyew nikaendelea kucheza game siku kama 3 zikapita ile pesa bado ipo Nikaona sio case wacha niitumie ilo likapita...
Iyo ilikua kwenye mwezi wa 7 ivi mwaka jana tena kwenye Mwezi wa 11 mwanzoni ikadhibitishwa tena nimepokea sh 120,000 laki na ishirini jina geni kabisa ilikua majira ya mchana kufika jioni pesa bado ipo.
Alie kua mpenzi wangu akaja geto ikabidi nimwambie kwamba nimepokea pesa sijui imetoka wap na mpaka sasa bado ipo....
Alicho nijibu " BABE TUITOE NIKA NUNUE KUKU NA VIAZI TUKAANGE TULE KABLA SIJAONDOKA " mimi nikasema Hapana tuiche mpaka kesho, mezani kulikua na sh. 30000 akaichukua akasema anaenda kuemea ana ham sana na kuku wa kukaanga, basi akatekelza azma yake zikapit siku kama 2 nimekwish itoa ile pesa bila kumpa taarif.
Tulikua tunaongea kwa sim usiku akaniomb nimtumie 2000 anunue mbs nikamwambia mpesa aina kitu "akajisahau akaniambia ile pesa nilio kutumia "akaishia apo nikamuuliz pesa gani ulio nitumia akaji gonga gonga mwisho wa siku akaniambia ile 120,000 mimi ndio nilikutumia kupitia kwa wakala akanikumbush na ile 15000 pia alinituma yeye na sikuwah mwambia kuhusu iyo 15000 ..na kwa kipindi hicho maisha yalikua yame balance tu sikuwa na shida kiivyo wala wasiwasi wa kupata mlo kamili..
Yule binti alinionyesh mapenz ya sayari nyingine kabisa
Mungu amjalie oko aliko maisha yake yanyooke...
Tuli enjoy sana Maisha kipind chote tulicho kua pamoja....
Uko sahihi kwa asilimia nyingi mkuuHakusahau alikuwa anatafuta namna ya kukujulisha kuwa ni yeye aliyetuma ndiyo maana akakukumbusha hata 15000 ya mwanzo.
Itabidi pale udsm kitengo Cha lugha wanipe tuzo yanguWewe jamaa bado unagegeda kama kawaida yako. Nakumbuka 2013 wewe ndiye uliyeanzisha hili neno humu. Inabidi ukabidhiwe tuzo aisee....
Utamuwowaaa akati ushampotezeaaHahaha mimi si sana, ila Demu wangu (Nipo naye na Mungu anijalie awe Mke kabisa), kabla hatujazoeana sana kuna siku nilishuka kwenye basi akanipokea na nguo zilikuwa na vumbi kinoma.. nikalala zangu maghetoni mara mlango unagongwa Binti kaniletea Menu.. Yaani bonge la msosi japo ilikuwa wali nyama ila ulipikwa kiufundi sana, nadhani alipika uchi.. akaniunganishia na Juisi ya Embe.. Nilienjoy sana!
Akachukua Nguo zangu zile.. akazifua akapasasi na akatia na unyunyu asee kila mara nilikuwa nazivaa zilikuwa kama si zangu, mtoto nikaenda nae Mgahawani tukaagiza kuku.. ile kutaka kula akasema baba tulia.. akawa ananinyofolea Nyama nakula..Mungu Akubariki Mama Popote Ulipo.. Nitakuoa!

Ha ha ha haLoh sijui nitoke Na nani hapa Leo tukalishane.
Mlisex Mkuu?
MkuuUtamuwowaaa akati ushampotezeaa![]()