Mapenzi kitu cha ajabu!

Mapenzi kitu cha ajabu!

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Kuna mdada nilidate naye online tukakubaliana kuwa siku ya kuonana tutakuwa tunaagiza kitu kimoja kimoja; hivyo tukakubaliana kinywaji cha kutumia. Guiness + Cocacola

Siku tulipoonana ilikuwa safi sana; Chakula tunaagiza aina moja na kijiko kinaletwa kimoja – anakula then ananilisha – story zinaendelea; kinywaji – Guiness; glass moja. Sijui muhudumu aliudhika kwa sababu gani akamuuliza tena kwa dharau vile .. “We dada huyu mkaka anakupa nini hadi unamdekeza kiasi hiki?”

Jibu alilopewa: … nikukuruhusu ummiliki kwa siku moja tu utafanya makubwa zaidi ya haya…

Kama ni member wa JF elewa kuwa nakukumbuka kwa utundu wako!

Je! Unakumbuka nini kwenye safari yako ya mapenzi katika maisha yako?
 
Kuna Member mmoja aliwahi sema kuwa "Japokuwa tunapitia matatizo makubwa lakini kuna kipindi lazma ukumbuke nice moments ulizozifanya ili kuweka akili sawa"
Big up mkuu tupo pamoja
 
Nakumbuka moment moja tamu, ile nafika nyumbani nauliza chakula kiko wapi akanisoteshea na mguu wake kwenye pot. Huku akiendelea kuwa busy JF.
 
Ah! hiyo imekaaje tena?
 
Kuna mdada nilidate naye online tukakubaliana kuwa siku ya kuonana tutakuwa tunaagiza kitu kimoja kimoja; hivyo tukakubaliana kinywaji cha kutumia. Guiness + Cocacola

Siku tulipoonana ilikuwa safi sana; Chakula tunaagiza aina moja na kijiko kinaletwa kimoja – anakula then ananilisha – story zinaendelea; kinywaji – Guiness; glass moja. Sijui muhudumu aliudhika kwa sababu gani akamuuliza tena kwa dharau vile .. “We dada huyu mkaka anakupa nini hadi unamdekeza kiasi hiki?”

Jibu alilopewa: … nikukuruhusu ummiliki kwa siku moja tu utafanya makubwa zaidi ya haya…

Kama ni member wa JF elewa kuwa nakukumbuka kwa utundu wako!

Je! Unakumbuka nini kwenye safari yako ya mapenzi katika maisha yako?
Mimi nakumbuka 2009 kwa mara ya kwanza kidume nikalishwa wali sahani nzima mpaka ikaisha daaah!! Nilikua nahisi aibu balaa mbaya zaidi kukataa siwezi... Nikakaa tu ananipigia stori huku ananilisha... Nikaanza kuzuga nimeshiba, jibu nlilopewa ni moja tu, chakula lazima kiishe

Ni ngumu kumsahau yule mtoto!! #shantasia
 
She looked at me in the eyes and said, "-KANA- if i catch you cheating on me, I'll fry your balls and have them for lunch".

Two weeks later, i caught her flirting with her ex on the phone. BAAANG!

I saved my balls!

Enzi za ujana huko hahaaa!
 
Kitu kimefanya mapenzi yaonekane ya ajabu kutokana na hii stori yako?
 
Mwaka jana 2017 ni moja ya mwaka nilio ishi kwa furaha sana
Nakumbuka kuna siku niko geto nacheza game ikaingia sms imethibitishwa umepokea sh 15000 kutoka kwa (jina geni silijui kabisa) nika waza uyu atakua amekosea ngoja niiache atairudish mwenyew nikaendelea kucheza game siku kama 3 zikapita ile pesa bado ipo Nikaona sio case wacha niitumie ilo likapita...
Iyo ilikua kwenye mwezi wa 7 ivi mwaka jana tena kwenye Mwezi wa 11 mwanzoni ikadhibitishwa tena nimepokea sh 120,000 laki na ishirini jina geni kabisa ilikua majira ya mchana kufika jioni pesa bado ipo.
Alie kua mpenzi wangu akaja geto ikabidi nimwambie kwamba nimepokea pesa sijui imetoka wap na mpaka sasa bado ipo....
Alicho nijibu " BABE TUITOE NIKA NUNUE KUKU NA VIAZI TUKAANGE TULE KABLA SIJAONDOKA " mimi nikasema Hapana tuiche mpaka kesho, mezani kulikua na sh. 30000 akaichukua akasema anaenda kuemea ana ham sana na kuku wa kukaanga, basi akatekelza azma yake zikapit siku kama 2 nimekwish itoa ile pesa bila kumpa taarif.
Tulikua tunaongea kwa sim usiku akaniomb nimtumie 2000 anunue mbs nikamwambia mpesa aina kitu "akajisahau akaniambia ile pesa nilio kutumia "akaishia apo nikamuuliz pesa gani ulio nitumia akaji gonga gonga mwisho wa siku akaniambia ile 120,000 mimi ndio nilikutumia kupitia kwa wakala akanikumbush na ile 15000 pia alinituma yeye na sikuwah mwambia kuhusu iyo 15000 ..na kwa kipindi hicho maisha yalikua yame balance tu sikuwa na shida kiivyo wala wasiwasi wa kupata mlo kamili..
Yule binti alinionyesh mapenz ya sayari nyingine kabisa
Mungu amjalie oko aliko maisha yake yanyooke...
Tuli enjoy sana Maisha kipind chote tulicho kua pamoja....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom