Hii tabia ipo sana na ni mbaya. Tatizo hawa wadada wana mitego sana. Mimi niliacha michezo hii baada ya kutishiwa maisha na mume wa colleague. Nikaona isiwe taabu, why check out from this earth just for puntang?! ain't worth it. Ila the girl was still on my case.