Mapenzi kazini !

Mapenzi kazini !

Huo ndio uhalisia wa maofisi yetu.
Kinachosikitisha hawa hawa wenye mahusiano maofisini wana mahusiano mengine nje ya ofisi.. Kama sio kuwa na familia kabisa.

Mbaya zaidi hao hao wanaojiita mabosi wana mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja katika eneo la kazi na wakati mwingine hawa wanawake wanafahamiana lolz...

Utu umepotea kabisaaa watu wanashindwa kujiheshimu, kuheshimu wenzi wao na hata kuheshimu Imani zao.

Now days watu wanagongesha kojoleos without any fear kama kugonga cheers vile.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yaani hili ndo linalonitisha,maana kama kufanya kazi pamoja ndo kuishie kwenye mapenzi basi hata kwenye nyumba za ibada haya mambo yataingia kwa kasi,maana inaonekana ndo ujanja. Yupo jamaa alitelekeza mke na watoto akaoa staff mwenzake mpaka akashushwa cheo kutokana na uzembe
 
ndoyo maana wanaojitosheleza kifedha wake zao hawafanyi kazi maofisini,kazi yao ni kuangalia familia tuu.Pia matajiri wengi kama sio wote wake zao hawajaajiriwa maofisini kama ni ofisi ya mume wake tuu
Wa hivi wengine wanaishia kutembea na shambaboi au vidume vinavyokuja kuwapaka rangi za miguu au hatawauza mchicha,au yeyote atakayepata mwanya wa kuwa karibu naye
 
lakini wengine hupendana,na huwa mume na mke ofisi moja ila idara tofauti.kwa sababu muda mwingi watu wako maofisini.na sio wote huwa ni watu wa mitoko.ila tatizo,kwa wale wasiotulia,mmoja akiukwaa mmh hupuputika wengi
 
..angalau hao wanakuwa wastaarabu,ila wengi mahusiano ya kuibaiba ndo wanpenda sana,kuna kipindi walipukutika ofisini kwetu,balaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom