Namshukuru Mungu aliniwezesha, sio rahisi. kunawakati kidogo niingie chaka, hasa kwa bosi maana Mungu amenjaalia kila cha kusifiwa !
Siunajua nilianza kazi mapema baada ya kumaliza shule tu,nikapata kazi na chuo nimesoma nikiwa na kazi so nina uzoefu wa ofisi nyingi sana. Kinacho nishangaza kazini watu wanaanzisha mahusiano kwa haraka sana ? kama rafiki yangu ndani ya wiki moja wanavuliana nguo ?ulikuwa ukihama tu au ulikuwa ukifanya utafiti wa mapenzi kazini!!!!mapenzi ni sehemu ya jamii kama zilivyo kazi zetu kuwa nazo ni sehemu ya jamii!hivyo kuwa na mahusiano na mapenzi kazini ni shemu ya maisha pia!!
kuna simba wengi huko makazini!hivyo ukichelewa utakuta kishaliwa na simba mwenzio ndo maana watu wanapiga faster ili kujiwekea wigo!!lakini pia wengine wameenda mbele na kusema kuwa mchuzi wa mbwa hunywewa ukiwa wa moto!!!Siunajua nilianza kazi mapema baada ya kumaliza shule tu,nikapata kazi na chuo nimesoma nikiwa na kazi so nina uzoefu wa ofisi nyingi sana. Kinacho nishangaza kazini watu wanaanzisha mahusiano kwa haraka sana ? kama rafiki yangu ndani ya wiki moja wanavuliana nguo ?
Wana jf, Salam
Kila mara nawaza na kuwazua bila kupata jawabu ! Mambo ninayoshuhudia yanaendelea kuongeza maswali mengi yasiyo na majibu katika akili yangu, mwasho Nilijikuta nasema ooh ! jamani jamani MAPENZI KAZINI.
Nimefanikiwa kufanya kazi katika ofisi kadhaa ndogo na kubwa. katika ofisi zooote nilizo pita kitu cha kufanana nilichokiona ni MAPENZI KAZINI.
Miaka hiyo,siyo zamani saan nilipo anza kazi kwenye kampuni moja ya utafiti,nilikuwa na wingu la tabia za watoto wa form six maana ndo kwanza nilitoka kumaliza shule yangu ya form six kabla ya kuanza chuo. Katika maisha yangu mapya niliona tabia za kushangaza za kimahusiano, ila sikujali sana maana bado sikuwa na ufahamu mpana wa mazingira ya kazini. nilijiunga na kampuni nyingine kubwa na hapo vituko vilianza kudhihiri. kila aliyekuwa na kacheo alifanya asusa mabinti wageni ofisini,chakushangaza rafiki yangu alianza gafla kuwa na uhusiano wa karibu namfanyakazi mwenzetu ambaye tumefahamiananaye kwa muda usiopungua wiki moja ! Nilishangaa kuwakuta beach wakiogelea binti akiwa na nguo ya ndani na kufunika kifua tu na kumbe tayari walikuwa wapenzi !
Baada ya muda nilijiunga na kampuni nyingine, hapo ukifika ofisini tu unapokelewa na mabinti wawili warembo sana,weupeee ! Baada ya kuzoea maisha mapya nikasikia maneno ya chinichini,dada fulani ana do na bosi ! kiukweli huyo dada anachosema ndo bosi anafanya,dada alimiliki vitegauchumi vya bosi wetu mpaka aibu.
Nilihamia kampuni nyingine,. hapo nilikuta vioja alikuwepo bosi wa kihindi katembea na dada wa usafi akampa mimba, dada wa usafi alianza kutudharau kwakuwa huyu mdosi alikuwa na kacheo. Muhindi wa watu akatelekeza familia kilichotokea ni mgogoro mkubwa maana wenzetu hawapendi mbongo aolewe na mdosi.
Nilipojiunga na taasisi fulani ya fedha,maamaaa ngono ndo ilikuwa fasheni ofisini. wakti fulani nilitoka kwenda kwa wateja na bosi wangu wa kike,akaanza kuongea lugha za ajabu ajabu,mara ooh mi sina mtu wa kunitoa wikiendi n.k na anajua nina mke.
Yaani kuanzia HR na department yetu bosi anawapanga foleni saana.
katika sehemu zoote nilizopita,nimegundua wanawake/wasichana wengi wanapokuwa maofisini wanaingiwa na kitu flani kinachowafanye wasiheshimu mahusiano yao ya awali. Naamini kwa asilimia nyingi wawapo nje ya ofisi huwa na mahusiano pia. Vivyohivyo kwa wanaume. Kunataasisi moja ya fedha bosi wa kike aliwagonganisha watendaji wake mmoja wao akaamua kuweka picha za utupu kwenye mtandao wa kijamii picha alizo mpiga akiwa uchi wa mnyama ofisini. Nimegundua maofisi ni sehemu hatari sana na yanashawishi sana kutoka nje ya ndoa kama hutakuwa na msimamo.
Mwisho nimebaki na swali moja tu ,kwanini uhusiano wa kazi maranyingi wengi wanaubadili na kuwa wa MAPENZI ?
ulikuwa ukihama tu au ulikuwa ukifanya utafiti wa mapenzi kazini!!!!mapenzi ni sehemu ya jamii kama zilivyo kazi zetu kuwa nazo ni sehemu ya jamii!hivyo kuwa na mahusiano na mapenzi kazini ni shemu ya maisha pia!!

Lakini hii ni too much ! yaani kabinti kanakuja ooh kaka flani naomba unisaidie lifti nina kamzigo unishushe pale nyumbani,humo kwenye gari maneno anayoongea ! kweli huku ndo kumulika nyoka. Maana kama ukisema liwalo na liwe.. unamaliza ofisi, cha kushangaza they are ready at any time !! Mmoja alisha nitamkia twende kupumzika,muda wa kazi,nikampotezea kama sijamuelewa.Kwani hujui vya hekaluni huliwa na watu wa hekaluni,na kila mmulika nyoka huanzia miguuni mwake?