With or without money, marriage is a scam.Unakubalia na views za huyu mwenzetu,. Toa maoni yako
View attachment 3546916
Zaeni mkaiongeze dunia
Kabisa Kizuri (shibela in the voice of Our beloved Magufuli)Hii statement waha hawawezi kuelewa! wasukuma wao wanazaa kwa mipango mahususi
Wakiume ni cheap labour
Wakike wataolewa wazee wapate ng'ombe a.k.a utajiri😀😀😀😀
Masikini wa mjini kuzaa ni kujiongezea matatizo!
Tukizaa wakati uwezo wa kuwatunza hatuna utawatunza wewe hao watoto??Machoko na wasagaji ndio pigo zao hizo hawapendi kuzaa na kisingizio ni umaskini. Kama naww unasapoti basi ni choko sugu na msagaji msugu.