Mwanamke mmoja ambaye alikuwa anaishi na mme wa ndoa huko Kising'a ya Isimani Iringa aliuawa juzi kwa kukatwa mapnga na mme wake. Tukio hili lilitokea baada ya mwanamke huyo kudai talaka mahakamani na kupewa. Mara baada ya kupewa talaka akatuma sm kwa aliyekuwa mmewe nakumwambia naolewa na tajiri wewe maskini. Jamaa alimjibu leo ni mwisho wako kuona nuru. Usiku nasikia aliingiliwa kwake na kuchinjwa. Je kuna jambo umejifunza hapa?
