Mapenzi Herbalist Clinic

Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL

Hii ingekuwa tamu sana kama siku ya ndoa mume na mke mnapigwa hiyo dawa, ukitaka kudo nje ya ndoa, kila kitu kinaenda off, aisee ingekuwa imetulia sana, LOL! Yaani ukisafiri huna pressure, mke/mume akichelewa kurudi huna pressure ya kuibiwa, wabakaji nao wasingeweza kufanikiwa! yaani, lol!
 
hii makitu on other hand because i realy dont know what is behind all those power and the energy tight them together kwa kweli other wise nimejua nitaunga hoja
 
kweli binafsi ningefurahi sana huku kunasana ni aibu kwa sana jamani lol

Mdogo wangu hili la kunasana hata mimi siungi mkono hoja, yaani hata kama wifi yako (mama HP Junior) angekuwa ndo kanitendea hivyo, siwezi kumnasisha, ningeheshimu muda tulioishi naye na watoto alionizalia then angeambulia talaka aondoke kwa amani akaishi kwa ampandaye zaidi .... lakini siyo kumfanyia hivi, NO!
 
hii makitu on other hand because i realy dont know what is behind all those power and the energy tight them together kwa kweli other wise nimejua nitaunga hoja


Inaweza kuwa ushirikina?????
 
mi staki hata kusikia bana maswala ya kuanasisha mume wangu!kwani sabuni ile banaa kuwa inaisha !ah
 
DU ISIKUTE NI YALE YA BABU WA LOLIONDO KUZIMA HOJA YA ZITO BUNGENI YA MABILIONI YA USWISS MAANA KILA KONA YA JIJI NA NJE YA JIJI NDIO HOJA KUU ATI
SI UNAJUA TENA kuwa mtanzania nayo ni moja ya maajabu ya dunia!!!!
 
DU ISIKUTE NI YALE YA BABU WA LOLIONDO KUZIMA HOJA YA ZITO BUNGENI YA MABILIONI YA USWISS MAANA KILA KONA YA JIJI NA NJE YA JIJI NDIO HOJA KUU ATI
SI UNAJUA TENA kuwa mtanzania nayo ni moja ya maajabu ya dunia!!!!

Inawezekana kabisa, who knows?!
 
Wagoni hali zao leo vipi? Hakuna update Boflo? Basi jana kila mtu anauliza Boflo yu wapi katika thread bomba kama ile ya kunasiana!!! Ha ha ha!!
 

Ila pamoja na hayo, ingependeza zaidi kama moyo au upendo wake kwako ukawa hiyo dawa. Ni kitu twaweza sema cha kufikirika kwa nyakati hizi lakini inalipa zaidi. Kuwa huyu mpenzi wangu hawezi kukitembeza coz ananipenda mimi na hakuna mwingine kama mimi, nami siwezi kukimanua kungine coz mwenye uwezo wa kunituliza ni huyu ninaye mpenda tu naye yuko peke yake duniani; what do you think?
 

Du hili nalo ni wazo zuri sana Kaunga, na ishu inakuwa si upendo tu, hata akipitiwa na shetani bahati mbaya au amekamatwa analazimishwa au kubakwa kila kitu kinakuwa kwenda doroooo!
Yaani kama ingewezekana tungeweza kupropose 'model' au 'framework' ya haya mambo then tunaifanyia majaribio na kuuza idea kwa wenye mitaji ili kuiweka sokoni na kujitengenezea mamilioni! :becky:

Kwa mambo kama haya si tungeweza kutokomeza UKIMWI? Idea hii tungewapa TACAIDS au WHO si tungeonekana wa maana sana? Najaribu kufikiria kipuuzi!!!!:smile:
 
Last edited by a moderator:
...mie natoa dawa ya kunasua hiyo kitu...sema..."Tawire"
 
Acha hiyo dada yangu. Sasa ukifa kabla yake, si utamwachia SHEMEJI matatizo mazito sana?

Na wewe Boflo, hiyo dawa naona imekuathiri hadi wewe kwani UMENASA kwenye TUNDU la Umasikini. Huko ndani kiuno unakinyonga hadi umekuwa Choka mbaya. Ona pichani ulivyo hoi. Halafu naona kale kajani kanaitwa NZIEMU kama vile unakavuta sana hadi unaokana MJAMAICA.....
Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL
 
Wewe, bado unaweza kuibiwa sana tu. Kwani ulimi nao hautakuwepo?


 
Boflo unatishaa. Ungetafuta TEGO la wanaowaumiza wapenzi wao ningekuwa mteja wako wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…